aristabus elvis musiba mwandishi wa riwaya za willy gamba alishakufa.yani Hussein Tuwa ni mkalii alinifanya niache kusoma hadithi za shigongo.
Soma Mkimbizi, Mtuhumiwa na utata yani ni noma jamaa anajua sana sana.
Hivi willy Gamba aliishia wapi??
sijawahi kusoma za Tuwa, lakini nilisoma Shigongo - Rais anampenda mke wangu- mwisho wa siku niliboreka nikakiachilia mbali huku mwanzo aliaanza vizuri lakini hapo katikati akatoka kwenye mtiririko kama wanavyosema watu hafanyi utafiti.
HUSSEIN TUWA mkali na ana kiwango cha akina BEKA MFAUME mfalme mwingine wa riwaya za Tanzania,je vitabu vyao vinapatikana wapi?at least tujikumbushe tena
[TABLE]
[TR="class: metadata_row"]
[TD="class: metadata_label"]Title
[/TD]
[TD="class: metadata_value"]Mfadhili
[URL="http://www.google.co.uk/search?tbo=p&tbm=bks&q=bibliogroup:%22Fasihi+ya+Kiswahili%22&source=gbs_metadata_r&cad=4"][I]Fasihi ya Kiswahili[/I][/URL]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: metadata_row"]
[TD="class: metadata_label"]Author
[/TD]
[TD="class: metadata_value"][URL="http://www.google.co.uk/search?tbo=p&tbm=bks&q=inauthor:%22Hussein+Issa+Tuwa%22&source=gbs_metadata_r&cad=4"]Hussein Issa Tuwa[/URL]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: metadata_row"]
[TD="class: metadata_label"]Publisher
[/TD]
[TD="class: metadata_value"]Macmillan Aidan, 2007
[/TD]
[/TR]
[TR="class: metadata_row"]
[TD="class: metadata_label"]Original from
[/TD]
[TD="class: metadata_value"]Indiana University
[/TD]
[/TR]
[TR="class: metadata_row"]
[TD="class: metadata_label"]Digitized
[/TD]
[TD="class: metadata_value"]20 Jun 2011
[/TD]
[/TR]
[TR="class: metadata_row"]
[TD="class: metadata_label"]ISBN
[/TD]
[TD="class: metadata_value"]9987371078, 9789987371075
[/TD]
[/TR]
[TR="class: metadata_row"]
[TD="class: metadata_label"]Length
[/TD]
[TD="class: metadata_value"]148 pages
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Code:[TABLE] [TR="class: metadata_row"] [TD="class: metadata_label"]Title [/TD] [TD="class: metadata_value"]Mfadhili [URL="http://www.google.co.uk/search? tbo=p&tbm=bks&q=bibliogroup:%22Fasihi+ya+Kiswahili%22&source=gbs_metadata_r&cad=4"][I]Fasihi ya Kiswahili[/I][/URL] [/TD] [/TR] [TR="class: metadata_row"] [TD="class: metadata_label"]Author [/TD] [TD="class: metadata_value"][URL="http://www.google.co.uk/search?tbo=p&tbm=bks&q=inauthor:%22Hussein+Issa+Tuwa%22&source=gbs_metadata_r&cad=4"]Hussein Issa Tuwa[/URL] [/TD] [/TR] [TR="class: metadata_row"] [TD="class: metadata_label"]Publisher [/TD] [TD="class: metadata_value"]Macmillan Aidan, 2007 [/TD] [/TR] [TR="class: metadata_row"] [TD="class: metadata_label"]Original from [/TD] [TD="class: metadata_value"]Indiana University [/TD] [/TR] [TR="class: metadata_row"] [TD="class: metadata_label"]Digitized [/TD] [TD="class: metadata_value"]20 Jun 2011 [/TD] [/TR] [TR="class: metadata_row"] [TD="class: metadata_label"]ISBN [/TD] [TD="class: metadata_value"]9987371078, 9789987371075 [/TD] [/TR] [TR="class: metadata_row"] [TD="class: metadata_label"]Length [/TD] [TD="class: metadata_value"]148 pages [/TD] [/TR] [/TABLE]
Ukiona Publisher kama Macmillan Aidan na University dizaini ya Indiana na tarakimu za ISBN basi ujue mwandishi/mtunzi ni kiboko sijui Shigogo kweli ataweza kujiumbua kwa wachapichaji wa kimataifa kwa kazi zake za copy + paste toka sinema, drama na novel za Kizungu na kupachika majina ya Gamboshi, Dagopa, Nyambogo, Manienga, Ushirombo, Kifizi, Malampaka n.k kuzifanya kama ni za ki-Tanzania zaidi na kuwa ametunga yeye.
umeonaa enhee. Halafu story zake ndo izo kwa izo ena zimekaaga km za kihindi hindi uongo na utoto mwinginafikiri badala ya kusema kwamba jamaaa anakopy na kupaste ni vema na haki kama utatuonesha at least stori moja au mbili kwamba hii story eric amecopy stori fulani ya fulani au amecopy sinema fulani na ile nyingine amecopy drama fulani. Hapo tutaweza jua kwamba shigongo kumbe anacopy kuliko kusema tu bila kuwa na uhakika wowote.
km msomaji wa novel za kisw lazima tuwa umjue. Huyo yeye atakua anasoma story za shigongo kwenye magazeti yake ya udaku.naona hujamsoma hussen tuwa mkuu huyu jamaa ni noma sijui yuko wapi
mkuu naomba usome na vitabu vya shafi adam, mtunzi mtanzania anaeishi america. Huyu jamaa is my no 1. Yeye story zange ni zile za kihistoria na kiswahili chake anachotumia ni safi sana. Vitabu kama kuli, haini, vuta nkuvute si mchezo mimi vyote nnavyo na ni vya zamani sana.hussein tuwa mkali na ana kiwango cha akina beka mfaume mfalme mwingine wa riwaya za tanzania,je vitabu vyao vinapatikana wapi?at least tujikumbushe tena
Ni mtunzi vizuri vitabu vyake ni vizuri kwa ajili ya wanafunzi kutokana na lugha nzuri anayotumia lakini Hussein Tuwa riwaya zake zina matukio na msisimko wa aina yake aiseemkuu naomba usome na vitabu vya shafi adam, mtunzi mtanzania anaeishi america. Huyu jamaa is my no 1. Yeye story zange ni zile za kihistoria na kiswahili chake anachotumia ni safi sana. Vitabu kama kuli, haini, vuta nkuvute si mchezo mimi vyote nnavyo na ni vya zamani sana.
Shigongo ni mzuri,ila Husseni Tuwa yuko juu zaidi.!
Kunfananisha Hussein Issa Tuwa na Shigongo aisee ni kumshushia hadhi Tuwa.
Tuwa mfananishe na Benny Mtobwa(RIP) au Elvis Musiba(RIP).
Tuwa anatisha.
Mi namkubali sana TUWA, nimesoma riwaya zake mbili tu ya MKIMBIZI na UTATA, aiseee jamaa anatisha kiukweli!
tuwa ndo noma, hadithi zake zina msisimko jamaa anajua sana
Story za shigongo ndefu na zinachosha
makali ni tuwa hata sultan tamba,story zake zina msisimko sana
sijawahi kusoma za Tuwa, lakini nilisoma Shigongo - Rais anampenda mke wangu- mwisho wa siku niliboreka nikakiachilia mbali huku mwanzo aliaanza vizuri lakini hapo katikati akatoka kwenye mtiririko kama wanavyosema watu hafanyi utafiti.
Chezea mkimbizi weye....hivi novel za huyu jamaa zinapatikana kweli??
HUSSEIN TUWA mkali na ana kiwango cha akina BEKA MFAUME mfalme mwingine wa riwaya za Tanzania,je vitabu vyao vinapatikana wapi?at least tujikumbushe tena
Kusema kweli sipendi story za shigongo nasoma vitabu vyake kwa kuwa tu napenda kusoma novels.
Hussein tuwa anaandika si mchezo yuko juu tena kwa sana.
km msomaji wa novel za kisw lazima tuwa umjue. Huyo yeye atakua anasoma story za shigongo kwenye magazeti yake ya udaku.
yani Hussein Tuwa ni mkalii alinifanya niache kusoma hadithi za shigongo.
Soma Mkimbizi, Mtuhumiwa na utata yani ni noma jamaa anajua sana sana.
Hivi willy Gamba aliishia wapi??
KAKA mbona exageration nyingi sana,tuwa ni mwandishi mzuri ila kuna kitabu kama mdunguaji ukiitafuta movie ya sniper reloaded sijui nani kamuibia mwenzake