Baada ya beef zito na Clouds FM: Lady Jaydee kuanzisha Radio yake

may be hakumaanisha wafu fm, maana kwa muda nilioisikiliza leo wamepiga wimbo wake wa joto hasira mara 3
 
may be hakumaanisha wafu fm, maana kwa muda nilioisikiliza leo wamepiga wimbo wake wa joto hasira mara 3
Na kweli hata mi nimeusikia mchana huu kwenye xxl,nikaushangaaa!maana ulinikumbusha nyimbo za jaiving enzi hizo primary
 
Vinega ilikuwa strong ant_ungese movement. Haikupewa sapot kubwa ikafa kifo cha asili. Kama vipi tuirudishe tena.
 
Mh who iz Ruge? Tafadhali

Mkuu Ruge Mutahaba ndo ka control sanaa ya bongo.

Yeye ndio mwenye master plan ya muziki wa Tanzania.

Yeye ndo anapanga nani a-shine na nani atupwe kapuni

Yeye ndo kashika makampuni (sponsors) yooote Tanzania. (Muulize Sugu alinavyohangaika kwa kukosa wadhamini. Kila mdhamini ukimfuata anakuuliza "pitia kwa Ruge" quote from Sugu's Facebook page

Yeye ndo alimpora Sugu mradi wake wa "Malaria No More"

Yeye ndio kakabidhiwa studio na serikali iliyotolewa kwa wasanii wote wa bongo fleva

yeye ndio mwenye kituo cha vipaji cha THT (kama haupo THT hesabu maumivu)

Kwa kifupi yeye ndo DON wa sanaa ya Tanzania.
 
Kuna kipindi nlisikia sugu nae ana mpango wa kufungua radio station bt had leo kmy......
 
Ila kiukweli jay dee jembe. Namkubali sana. Hajakosea kujiita binti commando

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ila kiukweli jay dee jembe. Namkubali sana. Hajakosea kujiita binti commando

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ujembe wake uko wapi wakati na yeye alibebwa sana na wafu fm pamoja na Ruge (meneja wake wa zamani)
 
go jide go jide go jide go jide
yeah yes u can du t juc go on whu z he wat they xo Cal ruge go on commando may God b wth u
 
Cku zote na popote mafanikio endelevu huja kwa kufanya "Bold decisions" km jde alivofanya.GO JDE,WE AR BEHIND UAR BACK.Kwa talent,social and economic capital ya jde hastahil tena kujikomba na kuwabembeleza clouds!.Mungu yu pamo1 nawe jde.GO GO
 
sidhani kama kila mtu aliyetoka kimuziki ana mkono wa huyu jamaa,prof jize na fid q na nature wote kawatoa yeye kweli??msitake kusema yeye ndo anaamua nani ashine kwa kipi labda
 
Back
Top Bottom