No where I told you that I am in lonliness, neither looking for some body.
Hii ndiyo Jf, uki-join hauchagui rubani.unakaa kwenye seat yako, unafunga mkanda, unafuata maelekezo mpaka mwisho wa safari.Upo hapo?
Wana jamii mwenzetu niko so so lonely,any ideas how to get out of this situation.
This is a serious matter so utani na kejeli naomba ziwe pembeni
umefiwa na bf wako siku za karibuni na kama kweli kafa kwa ugonjwa gani kama ni wa kisasa basi nenda ushauri nasaha na kama ni hamu ya mapenzi basi wapo wana JF watakusaidia ikishindikana njoo kwangu
lonliness is a kind of disease that attack mental capability of human being especially when no one is orund to iterchange ideas! It is therefore lead to inability to deal with brain/mental logical analysis of the so called thinkinf which may lead to go for a wrong selection in rondom ideas that comes out....so as a medicine if you feel lonly just visit some good places like supermarket or play ground or anywhere to see other human being it will heal your disease
U-lonely upi unaouzungumzia? be specific/Wana jamii mwenzetu niko so so lonely,any ideas how to get out of this situation.
This is a serious matter so utani na kejeli naomba ziwe pembeni
umefiwa na bf wako siku za karibuni na kama kweli kafa kwa ugonjwa gani kama ni wa kisasa basi nenda ushauri nasaha na kama ni hamu ya mapenzi basi wapo wana JF watakusaidia ikishindikana njoo kwangu
Wana jamii mwenzetu niko so so lonely,any ideas how to get out of this situation.
This is a serious matter so utani na kejeli naomba ziwe pembeni
Duh!kumbe hujanielewa?nina maanisha kwamba, mimi na wewe ni abiria kwenye hii JF.hakuna wa kumuongoza mwenzie.Are you a JF pilot? we are in the same line, mind u, JF belongs to its founders and they are the one to dictate the rules of the game in this house called JF. You are none of JF founders.
wewe mbona hueleweki? sema shida yako. tatizo upweke? au unahitaji bashaa wa kukukuna? kama unahitaji basha ni pm. kazi yangu kuziba magap kama yako:Wana jamii mwenzetu niko so so lonely,any ideas how to get out of this situation.
This is a serious matter so utani na kejeli naomba ziwe pembeni
wewe mbona hueleweki? sema shida yako. tatizo upweke? au unahitaji bashaa wa kukukuna? kama unahitaji basha ni pm. kazi yangu kuziba magap kama yako:
We nipm usijali hou ulonely utakutoka wote.Wana jamii mwenzetu niko so so lonely,any ideas how to get out of this situation.
This is a serious matter so utani na kejeli naomba ziwe pembeni
pole sana kwa upweke hebu jaribu kuongea na vitabu mbalimbali, movies na nyimbo za kukuweka katika hali nzuri. Zaidi ni2mie 4n no, yako kwa ushauri zaidi.