First class chuo ni za ma TO tu-wenye historia

namaanisha proffesor wa dit,ni jamaa alieheshimika kwa mambo makubwa alopiga alipokuwa shule lakin sasa hana mbele wala nyuma
 
Hi student? Jamani mi ni mzoefu na chuo .. Kwanza najua kila mmoja anapojiunga na chuo mawazo yake huwa ni kupata 1st class yani GPA 4.4-5.0 lakini kiuhalisia ndoto zao hupotea wanapokuja kugundua ukweli. Wanaopata 1st class chuo karibu 95% ni ma TO(TZ ONE- TOP 20), Wanaopata hzi ni wale wenye hstoria zao, mara o level 7,8 a leve 3,4. Kwa hyo msijetarajia makubwa wakati huna uwezo. Mfano mwaka 2005 jamaa aligradte mzumbe akapata 5.0 Gpa overal, na jamaa alikuwa wa 3 fom six. Waachie matoo first class zao, wale jamaa tunawaita SUPER HUMANS

Si kweli...... Mi nilipata first class 4.48

o level nilipata division III point 23
form VI division I point 5
Mzumbe university, 4.48

na mfumo wa kucalculate GPA niliopitia mimi ni mgumu kuliko wa huyo jamaa wa mwaka 2005

kupata first class ni kweli ni jambo gumu lakini ukiwa na nidhamu ya unachokifanya UNATOBOA
 
Hi student? Jamani mi ni mzoefu na chuo .. Kwanza najua kila mmoja anapojiunga na chuo mawazo yake huwa ni kupata 1st class yani GPA 4.4-5.0 lakini kiuhalisia ndoto zao hupotea wanapokuja kugundua ukweli. Wanaopata 1st class chuo karibu 95% ni ma TO(TZ ONE- TOP 20), Wanaopata hzi ni wale wenye hstoria zao, mara o level 7,8 a leve 3,4. Kwa hyo msijetarajia makubwa wakati huna uwezo. Mfano mwaka 2005 jamaa aligradte mzumbe akapata 5.0 Gpa overal, na jamaa alikuwa wa 3 fom six. Waachie matoo first class zao, wale jamaa tunawaita SUPER HUMANS

Uoga mtupu!Sikubaliani na hilo, Yaani wewe ushindie club,baa na mawazo yako yote unawaza kazi utakapo hitim chuo! Kwa hali hii ni ndoto kwako. Tafadhali usiwakatishe tamaa wenzio kama wewe hujishughulishi.
 
in real sence ma TO mara nyingi wanaakili mgando they only fucus on Gpa after that employment and realy they aren't that bright because they do whatever they can to get good marks not knowledge. Further more few of them think about becoming entreprenuer and vast still think of employment.
 
Another silly people!Una uzoefu na chuo ww ni Prof?umbumbumbu wako ndio uliokunyima first class ukatoka na gmen pass.Kwa hiyo unawashauri vijana wasitie bidii?Na kweli ww ni mwwanamabadiliko maana bado hujatoka ktk kundi la zinjathropas

Ha ha ha ha ha haaaaa
 
FIRST CLASS NI 4.5-5.0 alafu unasema una uzoefu ni wapi huo uzoefu uliokuwa nao alafu swala la gpa haliangalii umepaje sekondari ni juhudi zako tu mwenyewe. Mwisho wa taarifa.
 
Halafu hao ma TO wanakuwaga na bahati mbaya na maisha. Wakija mtaani wanaburuzwa... Wale wa gpa za 2.1 ndio wanasukuma mikoko mikali, wanang'oa watoto wakali na wanaishi kwenye nyumba za maaana. This life is unpredictable...
 
Mleta uzi namfananisha na washikaji fulan nilisomanao chuo, wakikuona umeshika PC unapitia pdf au unadownload vitabu wanakuita Complicator, mkifanya test una 13/15 wanashangaa! ushauri wa wanachuo someni sana vitabu na vitu vingine vinavyohusiana na koz yako mwisho wa siku ni rahisi kufanya research maana ma- gap unakua umeshayaona kitambo,sasa ww ukikomaa lecture tu unakujaanza copy& paste research au project za watu
 
mm olv nilpata dvn one nzuri sana hata six, chuo nilienda na ndoto ya kupata first ile first year semister ya kwanza nikapa GPA 2.9, ndoto zangu zikaishia hapo.

Ulikuja kutoka na overall GPA ngapi mkuu??
 
Mleta uzi umechemka vibaya sana sio kweli. ukifatilia sana hao ma TO sio kwamba wanakuwa na vipaji vya ajabu sana ila wengi wamesoma katika mazingira mazuri na shule bora huku wakiwa chini ya usimamizi mzuri sana hadi wengine kupangiwa ratiba za kusoma bila kusahau wengine wanatumia goli la mkono. Elimu ya chuo imetofautiana sana na elimu za sekondari kwa maana hauangaliwi mtihani mmoja tu wa mwisho kuna vitu vingi kama test, quiz, assignments, presentations, seminar papers, research paper n.k. so bidii yako katika yote hayo ndio itakubeba na ikizingatiwa hakuna anayekusimamia wala kukupangia ratiba ya kusoma. dawa ya kufaulu chuo ni bidii tu hakuna kingine hayo mambo ya background za shule za msingi na sekondari hayana nafasi. mfano mzuri miaka ya 2000's kurudi nyuma asilimia kubwa ya watu ambao wamefika level ya advanced level na vyuoni ni ambao hawakufaulu vizuri ama hawakuchaguliwa kujiunga na sekondari za serikali kutokana na uhaba wa shule na hivyo wakaamua kwenda private schools then wamefika mbali.Jaribu kujikumbusha wale wakali wako wa shule ya msingi ya kayumba wako wapi leo hii? kama sio walimu shule za msingi basi wanafanya kazi nyingine unprofessional. na hata wale vipanga wa o'level wengi hawafurukuti A'level. Binafsi sikuwa mkali sana s/msingi nilikuwa nazidiwa na watu kama 6 hivi kiufaulu na watano wakachagulia sekondari. mimi nilibaki lakini nikaenda private huku nikiwa naamini huko wanaenda wasiokuwa na akili. lakini kwa bidii niliweza kupata division 3 na kuwazidi wale waliofaulu s/msingi ambao wawili walipata 0, wawili div iv, mmoja div iii na mmoja div ii. huyo wa div ii na div iii na mimi tukaenda sekondari lakini pia sikubalance combination nikaenda private. mtihani wa acsee nikapata one ya 7, yule wa ii o'level akapata div ii ya 12 A'level na yule wa div iii akapata tena iii a'level. chuo nikamaliza udsm, GPA 4.2, nikabaki kama TA then nikapata masters yangu na september naenda Australia kupiga PhD.
 
Back
Top Bottom