Recent content by Pelosi

  1. Pelosi

    JamiiForums Tanzania Unatongoza vipi mwanamke aliyekuzidi kwa kila kitu?

    kwanini unataka kummiliki? nashauri uweke wazi nia ya moyo wako, na kwa matendo utakayo onyesha atakuona kuwa una nia ya dhati. kinachohitajika kwa mwanamke wa namna hiyo ni mwanaume kuonyesha UJASIRI na KUJIAMINI, mengine yatatokana na nyie wawili.
  2. Pelosi

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    A must read: Tipping point, Blink and Outliers by Malcolm Gladwell.
  3. Pelosi

    JamiiForums Tanzania Kwa aneyetambua hospitali yenye mpiga ultrasound wa kike

    Premier Care Clinic, next to best bite
  4. Pelosi

    JamiiForums Tanzania Mwigulu toka Bungeni: CHADEMA ndio waliolipua bomu mkutanoni kwao

    hata 9/11 twin towers zilivyoanguka zilirekodiwa na hata latest boston bomb nayo kuna video, so cha ajabu kipi hapo? kweli nimezidi kumdharau huyu mbunge, na sina jina lingine la kumuita zaidi ya KUBWA JINGA!
  5. Pelosi

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

    ...WHY NOW?! mmmmmh?
  6. Pelosi

    JamiiForums Tanzania Hivi tunakwenda wapi?

    Umesema vema ila tatizo ni kuwa wahusika ni vipofu kwenye suala la uajibikaji.
  7. Pelosi

    JamiiForums Tanzania Polisi Zanzibar: hakuna FBI wala hakuna aliyekamatwa kwa mauwaji ya Padri

    Interesting...
  8. Pelosi

    JamiiForums Tanzania Anae jua soko la asali nchini kenya

    habari, naomba uni- PM
  9. Pelosi

    JamiiForums Tanzania Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

    O'Level 1.13 A' Level 2.12(...ya mwisho)
  10. Pelosi

    JamiiForums Tanzania Regia Mtema is No More!

    R.I.P Regia Mtema nimejifunza mengi na ujasiri wako utasimuliwa vizazi hata vizazi!
  11. Pelosi

    JamiiForums Tanzania Kiukweli man u leo tumebebwa

    Ni vizuri kuwa mkweli na nafsi yako na pia kukiri kwa wengine... kwani kuna wengine ni wabishi tuu, hata pale ambapo ni dhahiri kuwa Man U wamebebwa!
  12. Pelosi

    JamiiForums Tanzania Wana-jf nimefiwa na mke wangu!!

    Pole sana, Mungu akupe hekima kipindi hiki kigumu...
  13. Pelosi

    JamiiForums Tanzania Rais Joseph Kabila Mashakani

    i have watched the clip and it has left me with many questions and more insight on the DRC situation. my concern is our goverment participation on the past election as one of the members shared... are some of us really safe?! my fear comes from Rwanda involvement as Kagame has been (is) accused...
  14. Pelosi

    JamiiForums Tanzania Bukoba ya leo

    si kweli hata kidogo kwa hayo usemayo juu ya bukoba, kwa wachaga nimefika pia ndio kuna maendeleo, hivi umetembelea vijijini? Bukoba hawezei kulia njaa hata siku moja, huwezi linganisha kilimo cha wachaga na wahaya, wachaga walisusia kahawa, na ndizi hazilimwi kwa wingi... mbao ndio kwa...
  15. Pelosi

    JamiiForums Tanzania Bukoba ya leo

    mkuu umenena vema, nami nimpita kwenye wilaya za mkoa wa kagera siku chsche zilizopita na kuyaona yafuatayo: juhudi binafsi za wazawa kwenye uzalishaji (upandaji wa miti, maharage, ndizi na mahindi na uvunaji wa maji ya mvua) makazi mazuri tena ya kisasa, hii zaidi karagwe vijijini. muamko wa...
Back
Top Bottom