rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
unapata faida gani kuwa mmbea...yaani na suruwali yako baba zima unakaa kwenye kompyuta kuandika mautumbo haya..pumbafu
Kigogo pinga kwa hoja bana'eleze unavyofahamu
unapata faida gani kuwa mmbea...yaani na suruwali yako baba zima unakaa kwenye kompyuta kuandika mautumbo haya..pumbafu
Kuna raha gani kung'ang'ania madaraka na hali wananchi hawakutaki na maisha yako yako matatani?.
Google Janet Kabila,dah mkuu thanks kwa information hizo sasa huyo pacha wake atakuwa wapi sasa hivi
Wakuu huyu ndugu hakusoma Sangu mbeya?
Ipo kampuni moja inasafirisha mizigo kwenda Congo kutokea Dar.Inamalori si chini ya 80 ,kuna jamaa mmoja maarufu kwa jina la Papaa ndio anayoisimamia ikijulikana kama ya kwake ila nilipata tetesi kuwa ni ya binti wa kiCongo.Ukiunganisha na habari hii inaweza ikaleta picha.Pia kwa sasa wanajenga hotel maeneo ya pembezoni mwa bahari ya Hindi -Mtwara yenye zaidi ya thamani ya Bil 2 fedha za kitanzania.Mwenye data kamili anaweza mwaga
Nadhani huu ugonjwa wa ukabila na ukanda unatusumbua sana wa afrika na M7 anatamani sana kutawala nchi kubwa zaidi ya Uganda jaribio lake lilishindwa EAC Sasa anataka aje kwa njia ya maziwa kwa kuwatumia Rwanda, Burundi na DRC Na tusipojiangalia hawa jamaa wanaweza siku moja kupanga hata vita au hujuma ya aina yoyote ambayo tunaweza kujikuta tunaingia nao vitani na wao ni wazoefu wa vitendo wanaweza kutusumbua sana ila Kabila anaweza kuona aibu ya Fadhila.
Akiona vipi,hakieleweli,na yanamzidia aje TZ tutamhifadhi..
Mkuu nadhani hata humu imekuwemo tena nadhani mwezi uliopita kama si mwezi huu. Niliisoma ila ina tofauti kidogo. Hii imeonyesha kwamba Joseph Kabila alisoma dar lakini ile ya mwanzo haikusema hivyo ilisema kwamba alisoma Rwanda. Ukweli ni kwamba Joseph alisoma Zanaki (Jioni ama Taasisi). Lakini pia najua kwamba mama yake Kabila ni huyu Sifa kama habari ya mwanzo ilivyosema ila hii ya sasa inaonyesha mama wa kabila siyo Sifa. Ukweli ni kwamba mama wa Joseph ni Sifa na walikuwa wakiishi wote jijini Dar.
Habari nyingine zinashabihiana. Huenda kweli Joseph si Kabila!
Mambo magumu kweli. Kumbukumbu zinaonyesha kwamba Mzee Kabila alisaidiwa na Watutsi kuingia madarakani. Watutsi wakiwa na dhana yao ya bahima empire walikuwa na mpango wa kumtumia kabila na kisha kimtupa na wao kuchukua utawala kwa kupitia watu kama Joseph, Kabarebe ama Bizima Karaha (aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Mzee Kabila). Kumbukumbu pia zipo kwamba baada ya kuchukua madaraka mzee kabila alishtukia mpango wa watutsi na kuamua kuwafukuza na hapo ndipo umauti ukamkuta na Joseph kuchukua madaraka kutimiza mpango wa watutsi. Huenda kuna kaukweli kuwa Joseph ana damu ya.Kitutsi.
mzee unataka ukajipeleke, watakukabila sr mkuu, don go there.Anafamilia masaki au yuko alone?
mkuu kim kardash unajua watu wanadhani kila mtoto ni mtoto, nimesoma hiyo post ya kwanza nimecheka tu. Nimefurahi kuwa umeweka na apicha ili watu wajue kuwa hapa jf si rahisi kudanganya watu.