Bukoba ya leo

Hawa nshomile wanajidai tu hamna lolote bukoba.sikuamini macho yangu nilipofika bukoba na kujionea.mjini bkb ovyo ovyo.pamoja na yote hawana customer care nzuri.jengo ni moja tu la nssf.bkb ovyooo waone hivyo hivyo na makeke yao huku mjini.wenzao wachaga wamekamata kila mji hapa tz na kwao usiseme wako juu mbaya.nawafagilia sana chagas.bigup sana.kama skul wamo,bizinez namba moja.haya mapompus kibao mjini
 
kaka ulibahatika kulala kwenye lodge moja imetulia sana kwa magentle me inaitwa CMK LODGE karibu na walkguarg ya hapa linas?
 
siku hizi hakuna samaki eti mwala mapanki samaki mwapeleka ulaya hati, hii kweli ni akili, mkoa utaanza kutoa watu wasio na uwezo kiakili maana virutubisho hakuna tena, ndizi zimeondoka na myauko, nyuso zenu za kutoa mafuta zimeisha sasa mtafanana kama mhogo msipojijari, mie nipo mwanza nakula bata hati, huku mwatjaza ndizi nyie mhhhh.
 
Rweye, kuhusu stendi ya mabasi itahamishwa na kupelekwa Kyakailabwa nje ya mji kwenye barabara ya Kampala. Ujenzi utaanza mwaka huu na tenda imeishatolewa kwa shirika la maendeleo/ujenzi la Jeshi (JWTZ). Juzi juzi ulifanyika mkutano wa wazawa wa Kagera waishio Dar es Salaam kwa ajili ya kupeana taarifa kuhusu mipango ya maendeleo ya Mkoa na kuhamasisha uwekezaji katika Mkoa. Mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa, Kanali (mstaafu) Massawe akiambatana na Meya wa Manispaa ya Bukoba na viongozi wengine. Kwa taarifa zaidi tembelea blog ya bukobawadau (bukobawadau.blogspot.com). Taarifa ilitolewa kama wiki moja iliyopita. Jiungeni na mchakato.
 
Tatizo wenyeji wa Bukoba wengi tumekimbilia Dar.
Jamani tuwe tunarudi home na kuwekeza huko ili kuiinua.
Mkuu next time kabla hujaendatena ni'PM.
 
mkuu umenena vema,

nami nimpita kwenye wilaya za mkoa wa kagera siku chsche zilizopita na kuyaona yafuatayo:
  • juhudi binafsi za wazawa kwenye uzalishaji (upandaji wa miti, maharage, ndizi na mahindi na uvunaji wa maji ya mvua)
  • makazi mazuri tena ya kisasa, hii zaidi karagwe vijijini.
  • muamko wa kufanya biashara (maduka kwenye vitongoji mbali mbali mfano: kyanyamaka, omurushaka, mpande, benaco, n.k)
  • utunzaji wa mazingira (hakuna taka kuzagaa kama vilivyo vitongooji vya Dar)
  • heshima kwa wageni na juhudi za maendeleo; hii zaidi muleba, karagwe na ngara baada ya kuwasiliana na wafanyabiashara wachache.
pongezi kwa wana kagera, na ni ushauri kwa serikali kwani kuna eneo kubwa tu ambalo lina rutuba na halitumiwi na watu (kwani watu ni wachache ukilinganisha na eneo), hii ni ukiachilia hifadhi ya serikali iliyopo kati ya biharamulo na ngara, na kati ya benaco na karagwe! niliambiwa kuwa kutakuwa na uzalishaji wa umeme kupitia maporomoko ya Rusumo (mpaka wa Tanzania na Rwanda), naamini hili litafanyika kwa haraka kwani so far kiasi kikubwa cha umeme wa Kagera kinanunuliwa Uganda!

nimejifunza mengi kwa kuutembelea mkoa wa kagera, na nampuuza, kumdharau na kumuonea huruma yule mwenye kusema Tanzania ni maskini!
 
Hawa nshomile wanajidai tu hamna lolote bukoba.sikuamini macho yangu nilipofika bukoba na kujionea.mjini bkb ovyo ovyo.pamoja na yote hawana customer care nzuri.jengo ni moja tu la nssf.bkb ovyooo waone hivyo hivyo na makeke yao huku mjini.wenzao wachaga wamekamata kila mji hapa tz na kwao usiseme wako juu mbaya.nawafagilia sana chagas.bigup sana.kama skul wamo,bizinez namba moja.haya mapompus kibao mjini

si kweli hata kidogo kwa hayo usemayo juu ya bukoba,

kwa wachaga nimefika pia ndio kuna maendeleo, hivi umetembelea vijijini? Bukoba hawezei kulia njaa hata siku moja, huwezi linganisha kilimo cha wachaga na wahaya, wachaga walisusia kahawa, na ndizi hazilimwi kwa wingi... mbao ndio kwa matumizi binafsi na sio biashara!

fanya tathmini na sio kumayoka tu hapa!
 
do not judge a book by its cover mkuu.Mkoa wa Kagera una matatizo lukuki sasa wewe umeongelea mjini tu lakini hata mjini mtatatizo mengi.
Mf.sokoni kuchafu saana kwani takataka zinamaliza siku kibao bila kuondolewa.
Mji wa Bk hauna barabara ata moja yenye miti na maua,nyumba nyingi ni za zamani hazifanyiwi ukarabati ata kupaka rangi hamna,bei ya vitu hiko juu kuliko sehemu nyingine mfano mafuta,sukari etc
Rushwa nikama halali hasa maaskari polisi na traffic,vijana wengi hawana kazi maarum,elimu ndo usiseme shule za kata nyingi hazina walimu na vyumba vya maadarasa mf.wanafunzi wakidato cha kwanza wengi wataenda shule mwezi wa nne baada ya january.
Mkuu hii kasumba ya kujisifia hakina nshomire haina nafasi tena wakati matatizo ni chungu nzima.

yeye kaandika alipoona yeye sasa kama na wewe una yako si useme bila kulaumu mtu

eeehhhh umetokea wapi weye unakuja andika point zako na kumsema kwani kakosea nini kaongea alivyoona yeye wewe sema ulivyoona wewe kwa umekataliwa?

sasa mambo ya kumkosoa mtu ndio ujinga kwa kweli andika point zako songa mbele

kumbuka vidole cyote sio sawa, yaani mizunguko yake sio sawa na weye. OK?
 
Nimejifunza hivi: ukomavu wa fikra ni kukubali kukosolewa na kutojikweza. Nimezaliwa Bukoba na kukulia hapo, nimeishi nje ya Bukoba tangu sept 11(nakumbuka sana siku hiyo kutokana na kulipuliwa kwa WTC).
Dini(baadhi ya vijiji vimegeuka Jaralabad au Kano) Siasa za majitaka na visasi,wizi,n.k vimeiharibu kila kitu Bukoba....watu wamechagua kuwa wavivu,ebu jiulize gari dogo toyota cololla linabeba abiria kwenda Izimbya,tena trip moja kwa siku,huo ndio ubunifu tuliobakiza.

Katikati ya mji mdogo wa Bukoba mfanya biashara wa duka anauza kreti moja ya soda kwa wiki moja!Mji mchafuu,wenyeji wavivu kila siku Kagasheki,Lwakatale,sisi waziba wao wanyaihangiro,ptuuu! Nakumbuka wimbo wa Kakau Band...Kagera yaitu yagera...ebya nshomile byatweshara!
 
Mkuu tupo pamoja make hata mie nimeondoka huko ilikuwa inaelekea miaka 10 na kusema kweli kuna watu,viongozi pamoja na wananchi kwa ujumla wanastahili kulaumiwa katika kuiangalia bkb ilvyo leo...ni mengi ambayo sikuyategemea na ni machache ambayo niliyategemea nilvyoyaona

Nategemea kutoa msimamo wangu kwa niliyoyaona na kuyaandika pale ntakapokuwa nahitimisha taharifa hii hapo baadae
 
kaka ulibahatika kulala kwenye lodge moja imetulia sana kwa magentle me inaitwa CMK LODGE karibu na walkguarg ya hapa linas?

Mkuu nani kakwambia Rweye amekuja hapa kuongelea miji?kama ulienda bkb sawa ila kwanini haukuwahi kutuambia ulichokiona?na kwanini ww unaisifia Kilimanjaro na kupaacha kwenu ama KLM ndo kwenu?mimi ninayeamua kuongea mazuri na mabaya ya kwetu na ww unayepigia domo mikoa ya wenzako nani anafact?thnk twce mkuu,kila kitu kna chanzo na sie tunaotoka kule ndo tunaijua hstoria ya kule,usione tunaandika tuna maana ya kuandika hivi wala hatuji hapa kuandika ushabiki wala hisia,hii si topic ya Simba na Yanga

Ongea point,kosoa na pongeza panapostahili vingnevyo hatushindani humu ndani

Mkuu hii imekaa hapa kimakosa nia yangu ni kumjibu adobe hapo juu,samahani sana.
 
@Rweye,
tupo pamoja mkuu...nadhani ni wakati wa kuangalia wapi tulijiteleza,huu sio wakati wa kusifia.
 
@RWEYE vipi Biashara ya utalii huko? nimekuwa nikifikiria sana kuwekeza bkb, maana nina eneo kubwa tena barabarani maeneo ya mjini.
 
Ukitaka kumjua Mhaya...SHURTI... aandike mahali...

Au-Hau
Alama-Halama
Usiku-Husiku
Maombi- Mahombi
Arusha-Harusha
Ovyo-Hovyo

Yaaani... NYEGERA WAITU...
 
Kwa kweli wamebarikiwa kwa mambo mengi. Ila tu roho ya korosho kwa sana, hawapendi wageni, cha ajabu wao kwingine wanaishi raha mstarehe.
 
seriously, kwa wale wanaoujua mji wa BKB vizuri wangetujulisha on business opportunities zilizopo huko. Maana nasikia opportunities bado ni nyingi sana uko, ila wengine hatuzijui, naimagine hata kwenye kilimo maana ardhi kule ina rutuba sana.
also vipi kuhusu swala la vivutio vya utalii
 
wekeza kwenye kilimo mkuu,ardhi yenye rutuba,mvua za kutosha,vyanzo vya maji vya uhakika n.k
TAHADHARI:
Nguvu kazi hakuna:vijana wengi wenye nguvu wamekimbilia mjini(waendesha pikipiki),wengi wa wahaya tuna nature ya 'vandalism'..katoto ka std II kanaweza kuvuna mananasi mabichi kwenye shamba la mtu na wazazi wasiseme kitu,hata watu wazima nao ni hivyo hivyo. Jitahidi kuwa na mwanasheria wako, kule hata bibi kizee anataka kesi ya kugombea cm 150 za ardhi ifike mahakama kuu.
 
vipi biashara ya hotel huko, wateja wapo, I mean kuna wageni wa kutosha au competition ikoje?
 
yeye kaandika alipoona yeye sasa kama na wewe una yako si useme bila kulaumu mtu

eeehhhh umetokea wapi weye unakuja andika point zako na kumsema kwani kakosea nini kaongea alivyoona yeye wewe sema ulivyoona wewe kwa umekataliwa?

sasa mambo ya kumkosoa mtu ndio ujinga kwa kweli andika point zako songa mbele

kumbuka vidole cyote sio sawa, yaani mizunguko yake sio sawa na weye. OK?

Naona matatizo tunayoyapata kutokana na ulaji wa mapanki!Unakosoa alafu unafanya kosa lile lile la kutoandika point zako.
Akina nshomire hamtaki kujifunza.
Nirudi kwenye mada,unajua viwanda vingapi vilivyokuwa vinatoa ajira kwa wingi mkoani kagera na bado vinafanya kazi au kutoa ajira?
 
Kuna mabadiliko chanya yanaendelea baada ya pigo kubwa la ugonjwa wa ukimwi uliosambaratisha mkoa wa Kagera. Wana Kagera wameanza tena kujivunia mkoa wao. Kufikia 2020 tutakuwa tunazungumzia mmoja wa mikoa yenye maendeleo makubwa ktk Tanzania.
 
Back
Top Bottom