Ni wazo lako kwa kile ukipendacho. ila nakushauri uendelee na hyo fani uliyosotea kwa muda mrefu, hata hivyo bado una umri mdogo kupoteza muda kurudi nyuma...
Mkuu , Acha maneno ya kugawanya Wa Tz. Kwani wengine hamuwaoni walojaza ndugu zao sehemu mbalimbali?
Kwann useme LOWASA? Keep thinking and find out the truth and NOT that u said
inackitisha, kwa hyo mtumishi anaishije mwaka mzima bila kupata mshahara?? nenda kashtaki la sivyo watajiuliza unapata wapi matumizi ya kujikimu muda wote huo
Mnaongea sana bila kufikiri mada imekujaje, Customer care maana yake nn? na Customer service maana yake nini??
Hata kama mtu anapiga simu na kuuliza swali la aina yoyote ni wajibu wako kumsikiliza na kumshauri.
Mimi Azam wamenikera pia kwa suala la kupoke simu. mimi sipo dar kama Kaka Jambazi...
Nyie mmelogwa na udini.
sisi wapagani tunawaangalia tu. na Tanzania yetu itakua salama na Amani itakua pale pale.
nyie mlioadhiriwa na udini mrudi kwenu Stupid!
fuatilia historia ya Tz vema. hatuwahitaji ninyi wadinidini. Tz ni ya watu wa amani wasiofungamana na dini yoyote wala kabila.
Hao...
Pole sana Banza Stone. ninachofahamu ni kuwa leo atalala Mbalizi then asubuhi atawahishwa kwenye Ndege uwanja wa Songwe arudi Dar. Masuala ya tiketi ya bus imetupiliwa mbali na rafiki yake kipenzi alieshiriki BSS 2008/2009. Rahim Nzunda
Hela za wazungu zilishafika na ndo maana Mh. Lembeli alisema na watumishi wa KINAPA mwaka juzi mwezi wa kumi na mbili kua pesa ilishatengwa hivyo kama hamjalipwa ni kosa coz pesa zilikua tayari zipo. i wonder why they did pay those guys hyo pesa imepitishwa wapi?? Njoo KHAGASHEKI utupe hela yetu...
Kagasheki tafadhali rudi kazini uwalipe waliofanya kazi ya kupambana na majangili katika OPERATION TOKOMEZA. Toka ujiuzulu Mzee hawatuoni kabisa kama nasi ni watu tunaostahili pongezi kwa kazi tuliyoifanya. Tafadhali chondechonde rudi uwalipe MAKAMANDA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.