mamabaraka
Member
- Oct 18, 2011
- 92
- 14
Wadau naombeni mwongozo. inachukua mchakato gani kwa mwajiliwa mpya kuanza kupata mshahara. mfano mtu aliyeajiliwa tangu february 2015 na utumishi mpaka leo april 26 2015 hajapata mshahara wala hiyo check namba inakuwaje? asanteni