Ak47?

Ak47?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
365,947
Reaction score
845,970
1422700477068.jpg
 
Automatische Kalash. . . . . . . .

Inasemekana mgunduzi alijuta sana baadaye
 
nasikia videmu hivi vilenga shabaha ni vitaaamuuu! mcharo haingii. vyenyewe vimekuwa addicted na shabaha... kulenga kutumia AK47 au kulengwa likitumiwa 'rire ri gobore'...
 
RIRE RIGOBORE qui qui quiiiiii
 
Automatische Kalash. . . . . . . .

Inasemekana mgunduzi alijuta sana baadaye

Hebu nipe mwanga kidogo, kwani hyo AK47 ndo siraha hatari zaidi? Mbona waliogundua aina nyingine ya siraha hawajutii kama huyu. Alafu kwa nini alijulikana sana kuzidi wagunduzi wengine?
 
Kwa sababu ndiyo silaha iliyotumika zaidi katika uwanja wa vita na mataifa yote makubwa na kwa miongo mingi sana. Huo ndo umaarufu wake.
 
Asante sana mkuu, ila nadhani sasa hivi inazidiwa na aina nyingine za bunduki.
 
Imeboreshwa sana na kwa vita ya mtaa kwa mtaa bado AK47 haina mpinzani

Drugs lords majeshi yao bado wanaotumia sana hii bunduki. Wanadai ni nzito ukilinganisha na SMG so hata target yake ni rahisi kupata unlike hii SMG.

Ila hiki kiwanda mwaka jana kilikuwa kinatishia kufungwa kutokana na kupoteza sehemu kubwa ya soko la bidhaa zake. Wadau wenye update ya hii habari wanaweza kutujuza.
 
Mkuu kama nakumbuka vizuri, nadhani tatizo lilikuwa katika masuala ya Management ya kiwanda hicho, lakini kuseme kilipata matatizo kutokana na AK47s kukosa soko hilo siamini actually wamehunda model nyingine ya kisasa kabisa, wanahunda za kijeshi na za kiraia. Kitu kingine hizi AK47s zinaundwa na Mataifa mengi kwa kibali cha Urusi hasa Mataifa ambayo yalikuwa rafiki wa Urusi (Ulaya ya mashariki, China, Korea nafikiri na Cuba)
 
Hili sakata limetokea at the peak ya conflict btn USA and Russia kuhusiana na mgogoro wa Ukraine.

Pia usisahau kuwa Marekani ni mnunuzi mkubwa wa silaha za kirusi.
 
Back
Top Bottom