Mimi ni mwanachuo wa chuo fulani jijini mbeya, mwakani namaliza degree yangu ya kwanza ya ENG. ya miaka 4. lakini hiki ninachosomea sio kama nilikipenda sana, hapana, sikujua nijaze nn wakati ule na mshawasha wa kwenda chuo.
malengo yangu yalikua kuja kua daktari, lakini wanasema hujafa hujaumbika vikatokea vikwazo ambavyo sitasahau vikazima ndoto ile, lakini saiv moyo unanisuta mawazo yananiambia huku sio kwako ulikuja tu rudi ulipotaka.
nataka nikimaliza nirudie cheti changu cha form 4 nikaanze diploma CLINICAL OFFICER mwakani kisha degree, umri wa sasa 22yrs mwakani 23
nipe ushauri wako
asanteni