Recent content by Pampula 1

  1. Pampula 1

    JamiiForums Tanzania Kununua hisa Tanzania ni kucheza kamari

    Kuna watu wananunua hisa hawajui Hata utaratibu wa ugawaji wa magawio ya faida upoje.
  2. Pampula 1

    JamiiForums Tanzania Kununua hisa Tanzania ni kucheza kamari

    Anayenunua hisa za Tanzania namhurumia sana. Pengine awe na mtaji mkubwa awe miongoni mwa "prefferential" shareholder, lakini kuwa "minority shareholder" ni upuuzi wa mchana.
  3. Pampula 1

    JamiiForums Tanzania Naileta kwenu Civilian bus -12 M(kwa hati ya dharura)

    Namba ya simu mkuu
  4. Pampula 1

    JamiiForums Tanzania Msaada nimekuwa msahaulifu sana

    Tumia mafuta ya samaki aina ya Salmon pamoja na mmea wa ginko biloba. Ukihitahi nitafute Pm.
  5. Pampula 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli uzee mwisho chalinze mapigo ya huyu mama sio ya nchi hii!.

    Ni PM Namba yake tafadhari.
  6. Pampula 1

    JamiiForums Tanzania Hivi mlishamsikiaga akiongea kingereza?

    Fit, Fighting, For, Fine, Food, For, Four years. Fa fa fa
  7. Pampula 1

    JamiiForums Tanzania Msaada /ushauri.. Nataka kununua simu ya mkononi - Infinix.

    Ninayo Infinix hotenote nilinunua 2015 mwanzoni Nairobi built in battery. Inadumu sana na charge, mi nakuwa online siku Nzima battery charge haikati.
  8. Pampula 1

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais jitafakari madaraka yamekulevya; Wapinzani si maadui wa wananchi kama unavyofikiria

    Huwezi kumuelewesha huyu na limwandiko lake jekundu, kuna maharage Fulani amekula hawezi kuelewa utapoteza muda wako Bure mkuu.
  9. Pampula 1

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio "kijana" wa Dr Mwakyembe,aliyemsaidia 99% katika vita ya madawa ya kulevya

    Nimecheka sana. Hapo na mkulu wa SAA hizi naye kimtindo simuelewi
  10. Pampula 1

    JamiiForums Tanzania Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

    Tanesco yote ni Shida tu, wanajisikia sana. Utafikiri Umeme wanagawa Bure, watumbuliwe tu labda watabadilika.
  11. Pampula 1

    JamiiForums Tanzania Vyakula vinavyoongeza nguvu na akili katika ubongo wa mwanadamu

    Pamoja na urithi lakini ulaji wa mafuta ya samaki unasaidia sana katika kufanya network ya ubongo wa mtoto awapo tumboni. Kuna food supplement waweza kumpa mkeo akawa ni sawa na mtu anayekula samaki bora Kabisa. Mafuta ya samaki yana kitu kinaitwa Omega 3 ambayo husaidia sana ubongo kufanya...
  12. Pampula 1

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Buhari watajwa kama marais walioangusha matumaini ya wananchi

    Ukiwa ccm lazima uzidumishe fikra za mwenyekiti, Hata akiboronga unasema yupo sawa. Ni aina Fulani ya kujifanya chizi ungali na akili timamu.
  13. Pampula 1

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amuongezea Mkuu wa Majeshi, Gen. Mwamunyange mwaka mmoja

    Wewe Lowasa alikwambia kuwa ameshaunda serikali, acheni kuleta uzushi ktk Jf ya GT.
  14. Pampula 1

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Natafuta series za Davinc demons na Rome, msaada jinsi ya kuzipata Ndugu.
  15. Pampula 1

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naombeni mnisaidie dawa ya jini kuuma

    Kuna dawa ya meno aka ya kuswaki inaitwa bright inasaidia sana hasa meno yaliyotoboka yanayouma. Pole sana mkuu itafute itakusaidia.
Back
Top Bottom