Vyakula vinavyoongeza nguvu na akili katika ubongo wa mwanadamu

1.Mjali mkeo kila wakati ili kumuepusha na stress na kumpa furaha muda wote.

2.Hakikisha mkeo anapata lishe nzuri vyakula vyenye virutubisho vyote hasa madini ya chuma na vitamini B.

3.MUHIMU: INTELLIGENCE IS INHERITANCE FACTOR!
 
Just pray to God akupe mtoto mwenye hekima and for you as a parent play your part.. Wapo wazazi waliofanya yote hayo na mtoto hakuwa fresh darasani na wapo ambao hawakufanya lolote na mtoto yuko bright, somethings are just out of your reach as a parent.. As I said DO your part, mjuze kuhusu Mungu mlishe mvishe msomeshe mpende mama yake act and talk wisely yourself, trust me kids are very good listeners and observers

Fanya sehem yako kama mzazi and pray your son/daughter will be a better person hapo baadae mengine ni nje ya uwezo wako don't stress yourself
 
Pamoja na urithi lakini ulaji wa mafuta ya samaki unasaidia sana katika kufanya network ya ubongo wa mtoto awapo tumboni. Kuna food supplement waweza kumpa mkeo akawa ni sawa na mtu anayekula samaki bora Kabisa.

Mafuta ya samaki yana kitu kinaitwa Omega 3 ambayo husaidia sana ubongo kufanya kazi vizuri.
 
Tumia kanuni za maisha za kiyahudi tafiti wao ulea vip mimba,vya ziada mfano mpende na mkumbatie mkeo mkilala nenea mazuri tumbo LA mkeo mlishe mlonge,ndizi,samaki dagaaa,vyakula vya protini
 
Kuna vidonge mama mjamzito hupewa kumeza... kwa mwezi kimoja... mpaka siku ya kujifungua...
 
Pamoja na urithi lakini ulaji wa mafuta ya samaki unasaidia sana katika kufanya network ya ubongo wa mtoto awapo tumboni. Kuna food supplement waweza kumpa mkeo akawa ni sawa na mtu anayekula samaki bora Kabisa.

Mafuta ya samaki yana kitu kinaitwa Omega 3 ambayo husaidia sana ubongo kufanya kazi vizuri.

Mkuu hii omega 3 ni kwa ubongo unaokua au hata mtu mzima anaweza kumeza ubongo ufanye kazi vizuri?
 
Kama unataka mtoto awe na akili zingatia sana lishe ya mama. Jitahidi mama apate mlo kamili kila mlo, aepuke sana kula sembe au ikiwezekana asile kabisa ugali wa mahindi, jitahidi angalau 80% ya vyakula vya carbohydrate iwe ni ngano isiyokobolewa. Yaani namaanisha kuwa asubuhi mama ale maandazi au chapati zilizopikwa kwa unga wa ngano isiyokobolewa, mchana ale ugali uliopikwa kwa unga wa ngano isiyokobolewa na jioni pia. Pia ale ufuta kwa wingi. Wataalamu wamethibitisha kuwepo kwa virutubisho vingi (brain activator) kwenye ngano na ufuta. Ngano isiyokobolewa ndiyo chakula kikuu cha wàisrael, that is why wanasayansi nguli hasa katika mambo ya anga Kyle NASA ni waisrael. Kwa upande mwingine wazungu walipokuja Africa wakatuletea zao la mahindi ili kutufanya tuwe vilaza ili watutawale vizuri na ndio maana pamoja na ukweli kuwa marekani ni wazalishaji wakubwa wa mahindi lakini wanaishia kulishia mifugo, kama wanakula ni kidogo sana kama pop corn. Uthibitisho was hili angalia wasomi wetu was kiafrica, yaani unakuta MTU ni msomi was kiwango cha PhD lakini uwezo wake wa maamuzi ni vituko tu, unakuta anajali tumbo lake tu kuliko kujali umma. Mwalimu Nyerere alikuwa mjanja ktk hili, that is why mpaka anakufa alikuwa anakula ugali wa ulezi au mtama. KUPANGA NI KUCHAGUA, CHAGUA SASA.
 
Mjamzito asile udongo,pemba, mkaa,ili kuondoa kichefuchefu alambe lemon au ukwaju
 
Habari,
mke wangu ni mjamzito wa miezi mitatu sasa, naomba kujua jinsi ya kumfanya azae mtoto mwenye akili sana, kwan najua wahindi wana utamaduni wao wanafanyaga kuongeza uwezo wa akili ya mtoto kuanzia ktk hatua za ujauzito,

Ni nini kinatakiwa kufanywa katika hatua gan,

Naomba kujulishwa,

Naomba waliokuwa wastarabu zaidi wajibu, wale wanadhihaki wanyamaze tafadhali.
Haooowahindiii wakusaidie Mpwaa hukubaniani wachachesana
 
Mimi ntakwambia mtoto akizaliwa tayali then ndo ntakwambia njia ya kumfanya awe na akili yani kuwa na ubongo wa Photogenic Brain au photographic memory
 
Back
Top Bottom