Series (Special thread)

BOBBYRAY na Da VINC wakati naangalia hii arrow iliotoka karibuni, naona kama wanaiyunganisha na Legends of tomorrow yaani ingekuwa ni Thread za JF maana wanaunganisha thread sasa ninyi wawili na yeyote mwenye ufahamu wa hili likoje wakuu?
 
Hiyo legends of tommorow siijui, ila mara nyingi huwa wanaiunganisha na the flash, wiki hii nimeona wameunganisha na super girl
 
BOBBYRAY na Da VINC wakati naangalia hii arrow iliotoka karibuni, naona kama wanaiyunganisha na Legends of tomorrow yaani ingekuwa ni Thread za JF maana wanaunganisha thread sasa ninyi wawili na yeyote mwenye ufahamu wa hili likoje wakuu?
Mi naona ka wanaharibu but u never know inaweza ikawa good move ya kupata viewers
 
Nimekua busy kwa kipindi flani hata nikashindwa kufatilia series kwa ukaribu.sasa kipindi hiki cha likizo time nataka nifatilie kwa ukaribu zaid.hizi ni baadh nilizokua nafatilia
Lost
Teen wolf
Vampire diaries
Game of thrones
Dracula
The 100
Empire
Under the doom
Strike back
V
Legend of seeker
Merlin
Spartacus
Hizi sikuzipenda
Person of interest
Nikita
Arrow
Supernatural
Walking dead
Hizi nimeona zinasifiwa sana sijajua niaze na IPI
Vikings
Lucifer
Westworld
Gotham
Znation
Small ville
Van helsing
Quantico
Once upon a time
Blindspot
American horror story
Criminal minds
Shooter
Breaking bad
Hawaii five
Law and order
Agents of shield
Luke cage
Grim
Series ni nying sana nashindwa nianze na IPI hizi ni baadh tu.navutiwa sana na series za crime,sci-fi, adventure,wars,thriller, action,fantasy
 
Kwakweli ni kuchanganyana, inabidi ufuatilie zote tatu ili upate muendelezo.
Yes!!! atoto maana mfano Mimi izo mbili nilijaribu kuzifuatilia sikuzielewa LT& SG ila arrow ndio nilikuwa nayo pamoja sasa walasielewi
 
Kila series za superheroes ina muendelezo wake mfano ukiangalia
- Supergirl & The Flash
- The Flash & Arrow
- Arrow & Legend of Tomorrow

Wiki hii walianza kutoa HEROES VS ALIENS kwenye mfululizo wa series hizo hadi mwisho wa kumaliza mission
 
Yes!!! atoto maana mfano Mimi izo mbili nilijaribu kuzifuatilia sikuzielewa LT& SG ila arrow ndio nilikuwa nayo pamoja sasa walasielewi
Atleast nilikuwa nafuatilia The flash na Arrow, na wamekuwa wakizilink for long now, ila this time naona ndio wameongezea na hiyo LT.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom