Hivi mlishamsikiaga akiongea kingereza?

Hivi mlishamsikiaga akiongea kingereza?

Kwahiyo kiingereza ndo kipimo cha mtu mwenye elimu eeeeh? acheni kuwa washamba nyie... kumbe nyie ndo mnasababisha lugha ya kiswahili isikuwe kwa kuwa mnakitangaza zaidi kimalkia....shame on yoo.
Jamani,muulizaji hajataja elimu mbona?
 
aongee kingereza kwani yupo ulaya apa acha apige kibantu tu
 
Mi sijawahi msikia Bashite akiongea kingereza
Vipi wewe uliwahi msikia?
Uzi wa kwamba huko chuo alikuwa kilazar wa kutisha na kwake kitabu kilikuwa kama mafuta na maji akifaulu kwa 'matamko toka juu' ulikuwepo hapa muda mrefu sana kabla hata tuhuma za kufoji cheti hazijaanza.
 
Jamani. Kaah. Msameheni tena jamani. Haya mapigo ya Askofu na Dada wa marekani yanatosha.
 
Kwahiyo kiingereza ndo kipimo cha mtu mwenye elimu eeeeh? acheni kuwa washamba nyie... kumbe nyie ndo mnasababisha lugha ya kiswahili isikuwe kwa kuwa mnakitangaza zaidi kimalkia....shame on yoo.
Halafu hawa eti ndio wanahubiri "ukombozi". Wakisimama mbele ya mwingereza wanakuwa wadogo kama piritoni kwa kujiona duni.
 
Ila yote katika yote ukiondoa kufoji na ubabe, kuna mambo ya kujifunza kwa huyu ndugu. Huyu ndugu ni mgumu haswa. Mikwaju yote hii yeye bado yupo tu. Sii kawaida.
 
🙁[For Four-years Form Four Fighting For Food] 🙁
 
akina LE MUTUZ ndio wafasiri wake...! Ndio maana BASHITE akiguswa LE-MUTUZ anachanganyikiwa kama mtu mume aliyepapaswa makalio.
Le mtumboz nae walewale lugha ya kuungaunga kma pogba,anajua kiiinglish cha kuombea ofa za misosi
 
Back
Top Bottom