Msaada /ushauri.. Nataka kununua simu ya mkononi - Infinix.

Nanoli

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
3,735
5,970
Habari zenu wadau.

Baada ya kuzitumia kwa mda mrefu Tecno.. Nimeona nibadilishe aina nyingine.. Naomba ushauri kuhusu aina hii ya Infinix.. Ubora na kasoro, zake...
Karibu........

5-1-1-png.473688
 
Habari zenu wadau.

Baada ya kuzitumia kwa mda mrefu Tecno.. Nimeona nibadilishe aina nyingine.. Naomba ushauri kuhusu aina hii ya Infinix.. Ubora na kasoro, zake...
Karibu........
Ninayo Infinix hotenote nilinunua 2015 mwanzoni Nairobi built in battery. Inadumu sana na charge, mi nakuwa online siku Nzima battery charge haikati.
 
weka picha me siijui
Infinix-Note-2.jpg
hiyo ni infinix note 2. Sijawahi zitumia ila nimeziona saana zinaenea kwa kasi. Zinatengenezwa China.

Kitu kimoja ambacho sijakipenda : pad zao za back, main menu na recent view zipo ndani ya screen ya kung'aa na sio nje kama sumsung au iPhone.
 
Back
Top Bottom