Poleni ndugu wa zetu.
Huu udini sio mzuri hapo wote wameathirika wakristo,waslamu na wasio kuwa na dini.
Sasa udini wa Mwinyi na Mwamunyange unatoka wapi?
Acha udini wewe huna akili kabisa
Hakuna kitu hapa umempamba sana.
Hizi sifa ni za manabii tu sio Slaa hafikii hata robo ya robo ni mtu wa kawaida tu tena ana dhambi sana kuchukua mke wa mtu ni dhambi kubwa sana.
huyu ni Moto tu kwa Mungu.
Serikali ilipotoa misamaha ya kodi maaskofu na wachungaji ndio wa kwanza kulalamika kwa nini?
Serikali inatoteza billion ngapi kwa siku?
Kumlipa mtu mmoja ndio ewe sababu.
Ubarozi wa vatcan mbona unahudumiwa na serikali sisi tumekaa kimya.
Mahakama itaanzishwa tu hata iwe vipi
Watu wengine machizi kweli yote uchokozi.
Mahakama ya kadhi ni kwa waislamu tu.
Hijabu maana yake kujistiri hii kila dini inasema mbona masister wanavaa vizuri na wanavaa hijabu je wao ni waislamu.
wakristu wanafunga pia.
hakuna dini inayoruhusu kitimoto
Haki ya kusheherekea mwaka ni muhimu...
MwanaKijiji hii ina ukweli ndani yake.
Angalia TRA wamejaa wachagga kweli na wanapendeleana kweli ukienda mzaramu au msukuma na aende mchagga utaona wewe utakavyo kadiriwa kodi ni tofauti na mchagga.
Hata ukikuta mwalimu mchagga atapendelea mchagga naona ndio mafunzo ya kichagga kupendeleana...
Zitto ndio kiongozi bora tunamuunga mkono 100% achana na hao wanaokusumbua hiki ni chama cha wananchi sio wachagga au watu wa kaskazini tu hata sisi wa kusini tuna haki na chama.
Uchaguzi ujao chukua form ya uenyekiti utapata tu.
Achana na hao mafisadi katika chama huyo mbowe na slaa wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.