Chadema na uchaga

Status
Not open for further replies.
Arguments zako ziko very weak Coca Cola, ina maana CCM walivyokuwa wanapinga mtu asimchallenge Kikwete ina maana wote ni wakwere? au Lipumba anapogombea kila uchaguzi, CUF ni ya wanyamwezi? Haijalishi nani anaongoza, tunajali results, kwa mfano;kama Mchaga atatuletea Katiba mpya watakaofaidika ni watanzania wote, regardless of their ethinicity.

We acha kukariri katiba mpya ndio itatukomboa? Uganda wana katiba mpya,Kenya wana katiba mpya,zimewakomboa kivipi? Mbona bado ni maskini tu tena kuliko hata sisi?
 
Najuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kupoteza kura yangu kwa chama cha migogoro kilasik u thaa tha thijui niende wapi
 
Makabila mengine yanaelewa ni demokrasia kugombania nafasi anayoitaka mbowe au aliyoishikilia mbowe, lakini wachaga hawaelewi hilo; wao wanachoona ni mchaga mwenzangu.

Fikiri kwanza kabla ya kunena. Unao ushahidi? Nani aligombea akanyimwa kwa vile si mchagga? Kwani Bob Makani alikuwa mchagga? Zitto akushauriwa asigombee kwa vile si mchagga bali kwa vile ni mchanga wa kisiasa. Fikiria kama angekuwa mwenyekitii chama kingefika wapi? Nahisi wewe ni Sunguru katibu mwenezi wa NCCR ndie ana maneno ya kijinga anaandika gazeti la Rai kwamba ni heri ccm kuliko chadema kushinda maana chadema ni chama cha wachagga. Kwanza ukumbuke walisema chadema chama cha wachaga. hoja ilivyokosa nguvu wanasema chama cha wakristo. sijui hoja ya ukristo ikikosa nguvu watasema nini tena.
 
Mbowe will never be perfect just because is a chaga. And democracy must take its course even in top level position. And speaking of capability; just go bilicanas and observe how he behaves. This will allow you to come to your own conclusion as to wether he has moral authority and wisdom to run a political party. I guess i have to remind you that two wrong don't make it right, therefore, don't mention cuf.

Pamoja na nia yako mbaya ya kuleta hoja kama hii ila kwa maoni yangu wewe ni mchemkaji kuliko MS. Sijui una elimu gani ila hoja zako nyepesi mno. Unamzungumzia Mbowe kwa vile Chadema ina nguvu. Mbona husemi CUF kuwa chama cha wapemba tena chama cha Kiislam?
 
ukiondoa Mbeya na Moshi(ambayo ni upinzani asili), hiyo miji mingine CDM walishinda si kwa kuwa wanakubalika bali kwa sababu ya migogoro ya kura za maoni ndani ya CCM(mf Iringa), kuhujumiana miongoni mwa wana CCM(mf mwanza), na hujuma za watendaji wa serikali dhidi wagombea wa CCM( mf Moshi). Iwapo CDM wana nia ya kweli kuwa ni chama chenye nguvu maeneo hayo ni bora kuanzia sasa wakatambua kuwa kilichowapa ushindi si nguvu yao bali udhaifu wa CCM maeneo hayo hivyo wasibweteke bali kwa kila hali wawasaidie wabunge wa maeneo haya kushughulikia matatizo ya wananchi, ikibidi hata kwa kutumia kiasi fulani cha fedha za chama ili kujijenga na kujenga imani ya wananchi.

Tathmini yako sikubaliani nayo. Kama unaifahamu historia, mwaka 1995 maeneo mengi ambayo yamewachagua chadema waliipigia NCCR-Mageuzi. Unataka kuniambia 1995 ccm ilikuwa na mpasuko? Mimi nadhani maeneo haya ni yale yenye uelewa kwa demokrasia. Je, Kigoma kuna mpasuko sana kuliko mikoa mingine?
 
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).

Wee ndio huelewi kabisa mambo ya siasa yanavyokwenda, ungekuwa unaelewa ungejua kwamba Zto hakugombea nafasi ya Uenyekiti wa Chadema kwa sababu eti ya demokrasia, Yeye aligombea nafasi hiyo kwa kushinikizwa wenye akili tunajua the reason behind. Mie sio Mchaga FYI
 
Najuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kupoteza kura yangu kwa chama cha migogoro kilasik u thaa tha thijui niende wapi

Unazungumzia migogoro gani? Hakuna chama ambacho watu hawakinzani. Nenda marekani Democrats wanamsakama Obama kwa kukubali kuingia makubaliano na Republicans. je ni mgogoro? Hao madiwani waliojiuzulu Mara si mgogoro wa CCM? Fikiria plz usiwe kama Babu yangu wa kijijini kusema umepoteza kura
 
ukiondoa Mbeya na Moshi(ambayo ni upinzani asili), hiyo miji mingine CDM walishinda si kwa kuwa wanakubalika bali kwa sababu ya migogoro ya kura za maoni ndani ya CCM(mf Iringa), kuhujumiana miongoni mwa wana CCM(mf mwanza), na hujuma za watendaji wa serikali dhidi wagombea wa CCM( mf Moshi). Iwapo CDM wana nia ya kweli kuwa ni chama chenye nguvu maeneo hayo ni bora kuanzia sasa wakatambua kuwa kilichowapa ushindi si nguvu yao bali udhaifu wa CCM maeneo hayo hivyo wasibweteke bali kwa kila hali wawasaidie wabunge wa maeneo haya kushughulikia matatizo ya wananchi, ikibidi hata kwa kutumia kiasi fulani cha fedha za chama ili kujijenga na kujenga imani ya wananchi.
Kimsingi nakubaliana na wewe kwa njia moja au nyingine kwamba udhaifu wa mwenzako ndiyo chance ya wewe kuone, ni kama mchezo mwezako akifanya kosa ikalitumia basi ndipo goli linapo patikana, Kama si nguvu ya CDM vipi vyama vingine visichukue mfano NCCR Mageuzi, CUF au TLP wange chukua
 
Wabunge 15 wa viti maalum wa chadema ni wachaga wanatoka ktk kata 2 tu za moshi.
 
Wabunge 15 wa viti maalum wa chadema ni wachaga wanatoka ktk kata 2 tu za moshi.

Give them a break..my name says it all huh ? Kama CDM ni ya wachaga wangeshinda majimbo yote klm ok dude?don't hate the game..
 
Wabunge 15 wa viti maalum wa chadema ni wachaga wanatoka ktk kata 2 tu za moshi.
wabunge wa viti maalum wa CUF wanatoka wapi? au ni dini gani? Malo Sokoine imekuwaje kapewa udiwani arusha wakati si mkazi wa arusha kwa zaidi ya miaka mitano?
 
Mbowe will never be perfect just because is a chaga. And democracy must take its course even in top level position. And speaking of capability; just go bilicanas and observe how he behaves. This will allow you to come to your own conclusion as to wether he has moral authority and wisdom to run a political party. I guess i have to remind you that two wrong don't make it right, therefore, don't mention cuf.
Coca Cola,

Mbowe is a shrewd entrepreneur for founding and organizing the running of bilicanas, the best night club in Dar. Dare you denigrate it in the company of youthful Waluguru, Wazaramo, Wakwere, Wasukuma, Wahehe or any Tanzanian, and they will punch you such that you will never forget the pain. As other JF members have said, Mbowe is also gifted as a lucid and patriotic politician, whose influence goes far beyond the boundaries of Chaggaland and even Tanzania.

As to your associating the night club with morality, I regret to tell you that you are out-moded. There are immoral activities being carried out by top leaders and mafisadi, reducing Tanzania into a poverty-stricken country of helpless people. I would advise you to drink IPP Mengi's Coca Cola, (another Chagga product), rather than indulge in gongo which dwarfs the mind. In that way you can make better contributions in this Forum.
 
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).

PUMBA TU,LAKINI SI NENO KWANI kwenye msafara wa MAMBA KENGE NAO HAWAKOSI,sawa mwana usalama wa CHUKUA CHAKO MAPEMA
 
Mimi nadhani aliyeanzisha hii hoja ya chadema na uchaga analake jambo. Maamuzi ya mwisho ya Chadema yanafanywa na KAMATI KUU. kamati kuu ina wajumbe 34 kati yao wachaga ni wanne. Yaani mbowe, Ndesamburo, mtei ( mwanzilishi) wa nne nimesahau. Itakuwaje kufanya maamuzi ya kukipendelea Uchaga yapite. Wakitofautiana wanatumia mfumo wa kura. Yaani kura 4 iwe na nguvu zaidi kura 30.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom