Uteuzi wa Kadhi Mkuu kuthibitishwa na Raisi wa Serikali ya Muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uteuzi wa Kadhi Mkuu kuthibitishwa na Raisi wa Serikali ya Muungano

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mfianchi, Dec 24, 2010.

 1. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Jana nimesikiliza radio ya Kiislamu ,ambapo mtaalamu wa mambo ya dini ya Kiislamu alikuwa anaelezea jinsi ya Kadhi Mkuu atakavyopatikana,amesema masheikh watakaa na kumpendekeza mtu watakaye muona anafaa kuwa Kadhi Mkuu ambaye kwao wao ndiye atakuwa kama mkuu wa mambo ya maamuzi ya kisheria yahusuyo masuala ya waumini wa Kiislamu hapa Tanzania,na wakimpendekeza huyo mtu ,jina lake litapelekwa kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,ambaye ndiye atakaeidhinisha na kuwa Kadhi Mkuu ni .............,sasa mimi nilichoshangaa ni je kwanini Raisi wa Jamhuri ya Muungano ndie aidhinishe uteuzi wa Kadhi Mkuu?kwani je serikali ina dini?na kwa Kadhi Mkuu kuidhinishwa na Raisi ina maana ni mwaajiriwa wa serikali? na kama ndio hivyo je atafuata masharti ya ajira ya serikali na kwa kuwa Raisi ndie atakayeidhinisha ina hela yangu ya kodi mimi mkiristo ndio italipa mshahara na marupurupu ya muislam?
  Hakika kama mambo ndio hivyo basi sina budi kusema Serikali kwa kukubali suala la Kadhi Mkuu kushughulikiwa na serikali inatupeleke mahali kusiko sisi watu wa dini nyingine,mwishowe hata wapagani watadai wawe na musimamizi wa mambo yao ya kisheria atakayelipwa na serikali.
   
 2. B

  Big Dady Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikia Mfianchi, kama radio ya kiislamu imesema hivyo, ina maana ndio fikra zilizopo kwa wenzetu hao. Labda ambacho hujui hadi sasa ni kwamba Kadhi Mkuu wa Zanzibar analipwa na Serikali ya Zanzibar. Yaani wananchotaka kifanyike huku Bara ndio kinachofanyika kule Zenji. Kwa Zenzji mambo yaliachwa hicho maana kule asilimia zaidi ya 98 wa wakazi wake ni waislamu, tofauti na huku Bara ambako tunagawana karibu nusu kwa nusu. Na Zenji ni nchi ya kiislamu, ila kwa sababu ya muungano ndio maana haisemwi wazi.:teeth:
   
 3. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Watakubali kadhi wao kuidhinishwa na rais mkristo au mpagani?
   
 4. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2010
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Hizo percent za nusu kwa kwa nusu wala sio kweli. Kuna watu walianzisha hizo namba sijui kwa sababu gani. Kwa kufuata tafiti mbali mbali, Muslims kwa Tanzania nzima ni kati ya 35-39%, jumla yao karibu 10-13M, na kwa idadi, ni kati ya nchi za kiafrika zenye wasilam wengi.
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  acha rais aidhinishe huo uteuzi wao. kwani kuna ishu gani kama tukimlipa mtu mmoja? siyo ishu hata kidogo...kwanza hela yenyewe ndogo tu.
   
 6. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kweli-nakuunga mkono kwa hili
   
 7. T

  Tabby JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2010
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 9,895
  Likes Received: 5,528
  Trophy Points: 280
  Wakati wakimpeleka kadhi kuidhinishwa na raisi, raisi wanayemtazamia kuidhinisha hawatamkuta ikulu! Tazama na utaona.
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Dec 24, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Na kwa nini tumlipe hata kama ni mmoja? Sadaka toka misikitini hazitoshi? Kweli JK amdhamiria kuiangamiza nchi yetu!
   
 9. B

  Big Dady Member

  #9
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtego wa noti unasema hiyo fedha si nyingi maana nayelipwa ni mtu mmoja, unakosea sana. Sikia, Kadhi ndio muhimili wa mahakama ya kiisslamu, yaani ni sawa na kumteua jaji mkuu, unadhani atafanya kazi bila wasaidizi. Ajenda ya sasa ni kuidhinidha mfumo wa mahakama ya kiislamu tanzania, ikishakubaliwa huyo kadhi ndio atapanga jopo wa watu wa kusikiliza mashauri ya kiislamu katika ngazi zote kuanzia vijijini hadi ngazi ya juu ya rufaa ambako ndio unakutana na kadhi. Na wote hao watalipwa na serikali kama watanzania tutakubali. Kwa hiyo siyo suala la mtu mmoja, ni suala la kuanzisha taasisi ya mahakama ya kidini (UISLAMU). Kinachokera, ni kwa nini watu wang'ang'anie mahakama hiyo igarimiwe na serikali??????
   
 10. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #10
  Dec 24, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu Kadhi ni kama Chief Judge wa Tanzania na Kadhi sio ibada ni mahakama kama zilivyo mahakama zengine. Ni muhimu mkalifahamu hilo kwanza ama kuhusu hili la kuwa approved na rais hili linahitaji mjadala kidogo anateuliwa vp na kwa masharti yapi. Pia Rais lazima ijulikana yeye anaaprove au anateua maana isije kugeuzwa kuwa a political post kwani hilo litakuwa sio sawa kwani hiyo ni sehemu ya kisheria.

  Kuhusu kulipwa mshahara chief kadhi hilo halina mjadala kwani ni sehemu ya mahakama na hivyo basi kama mahakimu wanalipwa na serikali nae huyu alipwe na serikali kwani taaluma sio kila mtu anakuwa nayo (Vyuo viwili tu navyovifahamu mie ndio vinafahamika kutoa degrees za sharia duniani King Fahd University, University of Al-Azhar). Sasa ni vema wakalipwa na serikali watu wanaofanya kazi hizo. Haihusiani na demographic statistics which by the way hauko sahihi kwani study nyingi zinaonyesha waislamu wako between 33-36%, wakristo wako between 30-34%, the rest wako (wapagani, hindu na dini nyenginezo) between 30-33%. Hivyo basi waislamu ni a substantial part of the population ya watanzania who deserve this service from the government.
   
 11. P

  Pamba Member

  #11
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali ilipotoa misamaha ya kodi maaskofu na wachungaji ndio wa kwanza kulalamika kwa nini?
  Serikali inatoteza billion ngapi kwa siku?
  Kumlipa mtu mmoja ndio ewe sababu.
  Ubarozi wa vatcan mbona unahudumiwa na serikali sisi tumekaa kimya.
  Mahakama itaanzishwa tu hata iwe vipi
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ona huyu zoba! Misamaha ya kodi ni kwa taasisi zote za kidini ikiwa ni pmoja na waislamu. Sasa nyie mnaagiza tende na ngoma za kaswida mnawaza vitu gani? BAKWATA Ndo yenye wajibu huo! Duuuu
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Kwa Kadhi hakua RUFAA:

  Qadi (also known as Qaadi, Qaadee, Qazi, Kazi or Kadi) (Arabic: قاضي qāḍī‎) is a judge ruling in accordance with the sharia, Islamic religious law appointed by the ruler of a Muslim Country. Because Islam makes no distinction between religious and secular domains, qadis' traditionally have jurisdiction over all legal matters involving Muslims. The judgment of a qadi must be based on ijmah, the prevailing consensus of the ulema, Islamic scholars.
  A qadi must be an adult and free man, a Muslim, sane, unconvicted of slander, educated in Islamic science, and his performance must be totally congruent with Sharia without using his own interpretation. In a trial in front of a qadi, it is the plaintiff who is responsible to bring evidence against the defendant in order to have him or her convicted. There are no appeals to the judgements of a qadi.The Qadi must exercise his office in a public place, the chief masjid is recommended, or, in his own house, where public should have free access. A qadi must not receive gifts from participants in a trial and he must be careful in engaging himself in trade. Despite the rules for the office, Muslim history is full of complaints about qadis. Often it has been a problem, that qadis have been managers of waqfs, religious endowments. The origin of the institution of qadi, is the old Arab arbitrator, the hakam, but qualities from officials in areas conquered by Arabs have been added to the structure.
   
 14. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #14
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Serikali ipi?
   
 15. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #15
  Dec 24, 2010
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mdondoaji if Muslims ar substancial part of TZ and so to Christinans, shall Christians demand the same servise from the GOV? say Catholics have their own court established for decades now and never demanded their Judges be serviced by the Gov, bu who knows with JK gov every thing is possible but not acceptable! need firsely discussions
   
 16. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #16
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  kwa sababu 70% ya huduma za afya hapa nchini zinaendeshwa na makanisa, serikali isipofuta kodi kwa taasisi hizi maana yake gharama za hospitali zinazoendeshwa na makanisa zitakuwa kama gharama za agha khan hospital.

  Watanzania maskini wanaolima na kupata magunia manne ya mahindi kwa mwaka wataweza kumudu gharama hizo??

  stop being stupid and use your common sense at least once a year.
   
 17. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #17
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Itapendeza wazee wa mila na jadi wa makiabila mbali mbali nao wadai kutambuliwa kwa mahakama zao zilizovrugwa zamani

  Hizi mahakma za kimila zitasaidia sana matatizo kama ya walencnonka na walenchari kule mara wazee wa shinyanga kuuwawa ovyo kwa tuhuma za uchawi,

  Kwa hiyo kama serikali inaona umuhimu wa kuingiza mfumo wa mahaakama za kidini basi pia ione uhumimu wa kurudisha na kuingiza mahakama za kijadi kwenye mfumo wake.

  Serikali ilivvurga na haitambui mfumo wa kijadi/mila na vaccum iliyopo ndiyo tunaona matatizo ya wazee kuuwawa shinyanga navita za wenyewe kwa wenyewe kule mara .

  Sababu mkono na vyombo vya sheria havifiki kirahisi uko vijijini ni wakati muafka wazee wakadai mahama zao zitambuliwe rasmi.
   
 18. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #18
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  no we need to declare that this is a pagan state which respects religions of its citizens. period.

  Je president akiwa si mwislamu watakubali awateulie kadhi? kwa nini wanakuwa stupid kiasi hiki kutoelewa hata jawabu la hesabu ndogo ya 1+1? kikwete atakuwa rais wa maisha?

  Kikwete kesha jiandalia ulaji UN tayari through Migiro and Ban ki Moon, why can't these ropi dops read between the lines?
   
 19. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #19
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nipo kwa mobile haina option ngoja nimalize kukamua hii kitu nitagonga tu!
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Dec 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Labda kama anateuliwa only once(wakati huu wa JK) halafu wanawe wanarithi
   
Loading...