Kitakachomuokoa Mwamunyange ni Hussein Mwinyi

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
kama waziri wa ulisnzi anhgekuwa mkristo zamani unskia kafu wanaadamana. lakinikwa kuwa waziri ni mwenzio, basi hutasikia hata miskitini likiongleawa kwenye amhadhara.kwa hiyo minimi na sema kitumbua cha davias mwamunyange kimeponea chupschupu.

hii ni kweli wala sityarajii ban. kwa dsababu ishakuwakawaida mtu akilongwa ukweli jf anakula ban. mimi naelimsha jamii madhara ya udini na uswaiba wa jk na watu wake.
 
Mkuu kwani wakristu hawawezi kuandamana na kuwashinikiza hawa jamaa kujiuzulu?mbaka wasubili CUF!ninavyojua mimi kuna wakristu wengi sana ambao ni makini na mashujaa kuliko hata sisi waislamu wanaweza kuandamana na jamaa wakajiuzuru!don't turnish the image of christians,they are very active than what you think!!
 
Kimsingi tunawapa pole ndugu zetu wa gongolamboto walioathirika na mabomu 2nawapa pole sana wale wote waliopoteza ndugu zao mali zao na kila kitu poleni sana tena sana
 
Kimsingi tunawapa pole ndugu zetu wa gongolamboto walioathirika na mabomu 2nawapa pole sana wale wote waliopoteza ndugu zao mali zao na kila kitu poleni sana tena sana

Mkuu nakubaliana na wewe. Kwanza kabisa waliokufa ni watanzania, sijui kama hayo mabomu yalikuwa yanachagua mkrito au mwislamu, au yalikuwa yanalenga nyumba za wakristo au waislamu. Naona tunazindi kuendeleza upuuzi.
 
Poleni ndugu wa zetu.
Huu udini sio mzuri hapo wote wameathirika wakristo,waslamu na wasio kuwa na dini.
Sasa udini wa Mwinyi na Mwamunyange unatoka wapi?
Acha udini wewe huna akili kabisa
 
Hivi kwanini udini wenu mfenao kichwani than kutaka kutufanya na sisi tuingie huko, inakuwa kama jk bwana!
 
Kwanini unadhania hivyo wakati waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wote watuhuma za kujibu;concerned gongo la mboto.
 
Hakuna wa kupona kwa tukio hili kama kweli ni waungwana, kwanza ni aibu kwa nchi kama tanzania kukumbwa na milipuko ya mabomu tena kwa uzembe mkubwa.
huu uzembe umetokana na serikali kuu kurecruit watu wasio na qualifications zinazotakiwa.
kwa mfano suala la mabomu, kungelikuwa na wataalam wa field engineering walioqualified, kusingekuwa na majanga kama haya! maana kazi ya field engineer ni kukagua mabomu, yanaexpire lini na kadhalika.
Serikali ya ccm imejaa wahuni watupu kuanzia ikulu. usanii mtupu!

TAMKO
1. Mwamunyange ajiuzulu
2. Husein mwinyi ajiuzulu
3. Kikwete apigiwe kura ya kutokuwa na imani kwa mujibu wa sheria, huyu jamaa amekuwa nuksi, amepoteza damu nyingi za watanzania.
 
Huu uzi ni wa kishenzi kama ambavyo mtoa mada anavyoonekana kabaki na mawazo mgando ya fikra za mkwewe, yaani9 watu wamekufa unatuletea uwendawazimu hapa.

Kaa mbali na uchochezi usikuwa na tija kwa familia za wahanga wala watanzania waombolezao hivi mabomu yalikuwa yanaangalia yupi mwislamu au yupi mkristo. Fisadi ni ni fisadi tu awe mwislamu au mkristo ni fisadi tu.
 
Jukwaa hili kwa mada za kipuuzi haliwezekani hivi kuandamana ni haki ya vyama vya siasa tu?
Na kama ndiyo hivyo ni CUF tu peke yao wa kuandamana?
Hivi wananchi wenyewe hamuguswi na shida zenu mpaka mkingiwe kifua na CUF?
Na hizi sumu za udini udini mumezianza lini au tokea mapadri walipotaka urais wa nchi ndiyo mmeanza tena. Hoja ingekuwa sawa kama tungesema wahusika wawajibike kuliko kusema nani aseme fulani awajibike na asiposema anafanya hivyo kwa kuwa ni mwislamu mwenzake, this is nonsense!
Kwani Mwamunyange si mkiristo kama vyama vyengine havijaandamana kumtaka ajiuzulu tusema vinafanya hivyo kwa kuwa ni mkiristo mwenzao?
Mambo mengine kama upuuuzi vile!
 
kama waziri wa ulisnzi anhgekuwa mkristo zamani unskia kafu wanaadamana. lakinikwa kuwa waziri ni mwenzio, basi hutasikia hata miskitini likiongleawa kwenye amhadhara.kwa hiyo minimi na sema kitumbua cha davias mwamunyange kimeponea chupschupu.

hii ni kweli wala sityarajii ban. kwa dsababu ishakuwakawaida mtu akilongwa ukweli jf anakula ban. mimi naelimsha jamii madhara ya udini na uswaiba wa jk na watu wake.
nilii-open ili nichangie,lakini nilipokuta kuna udini baasi napita tu. Nawaachieni mjadala wenu
 
Taifa lenye wanyonyaji wengi halafu wanaonyonywa wasipende hali hiyo ibadilike hata wanapopata fursa ya kufanya hivyo, ujuwe hao wanyonywaji ni wapumbavu na si kweli kama wanapenda amani na utulivu
 
kama waziri wa ulisnzi anhgekuwa mkristo zamani unskia kafu wanaadamana. lakinikwa kuwa waziri ni mwenzio, basi hutasikia hata miskitini likiongleawa kwenye amhadhara.kwa hiyo minimi na sema kitumbua cha davias mwamunyange kimeponea chupschupu.

hii ni kweli wala sityarajii ban. kwa dsababu ishakuwakawaida mtu akilongwa ukweli jf anakula ban. mimi naelimsha jamii madhara ya udini na uswaiba wa jk na watu wake.

Wewe sidhani kama ni Mkristo kweli...na sidhani kama ni Mwislamu either.

Mafundisho ya dini zote 2 yanapinga fikra za kihusda kama hizi!
 
kama waziri wa ulisnzi anhgekuwa mkristo zamani unskia kafu wanaadamana. lakinikwa kuwa waziri ni mwenzio, basi hutasikia hata miskitini likiongleawa kwenye amhadhara.kwa hiyo minimi na sema kitumbua cha davias mwamunyange kimeponea chupschupu.

hii ni kweli wala sityarajii ban. kwa dsababu ishakuwakawaida mtu akilongwa ukweli jf anakula ban. mimi naelimsha jamii madhara ya udini na uswaiba wa jk na watu wake.

Nadhani wananchi wanapata hisia kama hizi kwa kuwa mawaziri wote nyeti
ULINZI
MAMBO YA NDANI
FEZWA
AFYA
ELIMU
UTUMISHI

Hizo ndizo wizara mama bwana!!!

zinazofuatia kwa umuhimu ni kwa washkaji wa karibu kama kina Membe,GEORGE MKUCHIKA,TYSON etc,,,...ngeleja aka "zero" . aka "twanga" aka mshamba wa mademu...tena naona na yule demu aliyekuwaga power breakfast kaamua kabisa kumzalisha ,,....aka "shemeji wa kipanya"....hatuna umeme kazi tunashinda wote hapa break point ....tunagombea ma bar maid ...si ushamba huo!!!

SASA wasifurahie tu kupewa wizara muhumu wamsaidie Rais Kazi ........sio kukaa tu!!!
 
Kwanza kabisa napenda kuwapa pole ndugu zetu wote waliopatwa na Janga hili la kizembe kabisa tena mara ya pili?Niko pamoja nao kiroho kuomboleza maafa yaliyowapata hapo Dar. Mungu awe nanyi awalinde katika kipindi hiki kigumu kwenu.Naomba Wana Jf kama mtaweza hatakuweza kufanya kautaratibu ka aina fulani kuweza kuwachangia kitu chochote mwenye nacho ,kamsaada hivi. Swala la dini mimi naona ni kazi kwelikweli, siku moja nilikuwa kwenye telephone booth nchi za ulaya , mzee mmoja akaniuliza Are you Moeslim? hiyo ndiyo ilikuwa salaam kwake, nami nikajibu No. Alinichukia sana, akafyonza na kuondoka...Hiyo imenitokea sana sehemu mbali mbali nilizotembea huko nchi za nje. Nawaomba tuungane tuwasaidie waathirika wawe ni Waislaam wanaochukia Wakristo, Wakristo, wapagani na watu wa rangi zote pia na Albino na walemavu, Watanzania wote na hata watalii walioathirka. Love you all My People.
 
Back
Top Bottom