Dr.Slaa is the 'Man of the year 2010' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr.Slaa is the 'Man of the year 2010'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Luteni, Dec 30, 2010.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Dedicated to the people of Tanzania,
  Raised people's self awareness,
  Raised his political party from bottom to second top,
  First person from opposition party to get more than 2mil. votes in a single election,
  He fears no body except God-list of shame,
  Man of the Bunge (2010),
  Making ruling party work, sleepless,
  He is ready for change,
  He loves Tanzania and its people 'from his heart',
  Man of peace,
  Man of no tribe,
  Man of no religion,
  Man of no groups,
  Man of no classes,
  He is everywhere-reachable-even here,
  Loves wealth of his nation,
  He wants all people of Tanzania to share its wealth and fruits,
  Forgiveness,
  ...........
  ...........

  Man of God.

  l dont think he does not deserve to be MAN OF THE YEAR.
   
 2. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,077
  Likes Received: 4,662
  Trophy Points: 280
  Thank you saaaaaaaana, ila hapo kwenye red, He got more than 10mil votes, tuliibiwa, hizi 2mil baada ya uwizi wa NEC & CCM, no dought he is the Greatest ever leader no one can change that, he is a hero in general, high level of interpersonal skills, intellectualism, uchungu wa nchi na wananchi wake he possesses, hekima kubwa & elimu make him uncomperable with any one.
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Yes, he is. But what about jk, doesn't he deserve to be named 'mchakach.... of the year'??
   
 4. Dubo

  Dubo JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 322
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye nyekundu. kwa waislamu hakubaliki ndio maana alipata kura chache kuliko wote kwenye sehemu za waislamu.
   
 5. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,739
  Likes Received: 3,173
  Trophy Points: 280
  Yes he is. I salute him! Dr. Slaa mungu azidi kukutia nguvu akutangulie kwa kila jambo. Wewe ni mfano kwa kila Mtanzania. Kuna wengine watakukataa lakini si muda mrefu wengi wao watakukubali. Sisi tunaopenda mabadiliko katika nchi yetu tunakupenda.
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  Man of coveting someone's wife!

  Luteni is this an issue we should be discussing here? you want debate in this matter or just information!

  ok, I agree with you a man of the year! kupora mke wa mwanaume mwenzake wazi wazi yahitaji ungangari ati! padre!
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Yes, he is.
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  tunamkubali na tulimpigia kura.
  Kwani tumekwambia sisi muslims hatuitaji mabadiliko!
  Alichotuboa ni hiyo ishu ya mke wa mtu lakini wengine tuliona ni mambo binafsi na kila mtu ana weaknesses zake sio dr tu. Hata hivyo jamaa alikuwa wapi siku zote asilalamike aje kulalamika kipindi cha kampeni!! Niliona ni kamchezo hapo.
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Na WEWE acha kijiba cha roho, huyo wa kwenu anafunga mpaka watu magerezani kisa MWANAMKE, amezaa na wanawake wangapi mtaani? acha WIVU kwenye ukweli lazima ujulikane!!!!!!!!!!!
   
 10. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BWEHEHEHE!!!!! New comers kwenye siasa za upinzani utawajua tu!

  Hivi ile mialiko ya kuhudhuria sherehe za kumuapisha ziliishia wapi vile? Eti kuna wengine walitoka Marekani kwa ajili ya sherehe hiyo! BWEHEHEHE!!!!!
   
 11. FuturePresident

  FuturePresident JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 322
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  No Doughty!!!!!! SURE
   
 12. FuturePresident

  FuturePresident JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 322
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  YES Jey Key......He deserve to be named Chakachunist of the decade ending 2010
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Man of God

  Hivi unaweza kumpima vipi mtu kuwa ni Man of God?
   
 14. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Hapo mimi mwenyewe niliposoma niliguna kidogo...!! Pengine mwandishi aliandika kishabiki zaidi, ni vigumu sana ku verify objectively baadhi ya wasifu aliouelezea mwandishi!!
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Mimi niliona nianze na hapo nipewe ufafanuzi kisha nisogee kwa mengine......:))


   
 16. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa kifupi wasifu nyingi alizoandika mwandishi hapo zinalandana naye tusione wivi japo kuna chache zinawalakini kidogo!
  Kuna watu wanaona DR Slaa kama alizini na mke wa mtu....hawafuati historia....Nendeni kamuulizeni yule mume wa yule mama mara ya mwisho waliishi naye lini????????? Yule jamaa alitumiwa na sisiem kumchafulia Slaa!!!! yule mama mume wake alimuacha muda zaidi ya mwaka sasa mama kakutana na Slaa wat.....Oh sijui Slaa Mzinzi oooh sijui kaiba mke wa mtu oooh sijui mhuni....Mbona mama alikuwa peace to Mke wa mtu utangazwe na vyombo vya habari halafu usihofu hata kidogo!!!!!!!!!!! Hamuujiulizi tu wadau????
  Slaa Mtu wa watu
  Slaa anapenda wananchi
  Slaa alitetea maslahi ya taifa
  Slaa anauchungu na nchi
  Slaa Kiongozi wa kweli
  Slaa Hakuna Mfano
  Slaa hapendi mafisadi
  Slaa mpigania haki za wanyonge
  Slaa mpenda maendeleo
  Slaa hapendi udini
  Slaa si mkabila
  Slaa hapendi makundi
  Slaa Kiongozi wa mwaka 2015
  Slaa Kiongozi wa Kuigwa
  Slaa Jiwe walilolichakachua Mafisadi
   
 17. P

  Pamba Member

  #17
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna kitu hapa umempamba sana.
  Hizi sifa ni za manabii tu sio Slaa hafikii hata robo ya robo ni mtu wa kawaida tu tena ana dhambi sana kuchukua mke wa mtu ni dhambi kubwa sana.
  huyu ni Moto tu kwa Mungu.
   
 18. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  No doubt about that!
   
 19. Kagemro

  Kagemro JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  pamoja na kuwa mnampamba sana.Nakwambia hakuna mke anayeibiwa?mbona mnaliongelea sana wapambe na mwenye kuibiwa hasemi tena acheni ujinga hakuna mwanamke anaibiwa,zinaibiwa pesa na vitu lakini si mke.

  wote mnaofikiri Dr kaiba mke ni wajinga wakutupwa wala hamfikiri mdada mzima kama yule aibiwe upuuzi wote bogus mnaofikiri na kuzungumzia propaganda hiyo mwenye mke kimya ninyi midomo juu.jaribu kiiba mke wa mtu uone kama patakalika ,mke ahibiwi wala kutoroshwa bali anaondoka kwa maamuzi yake.
   
 20. Kagemro

  Kagemro JF-Expert Member

  #20
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45

  Mpuuzi mke wa mtu unauhakika stop it.wewe ndiyo unajua sana zaidi ya aliyeibiwa?
   
Loading...