Mimi naiona katika mitazamo miwili:
1) Kama huyu mwanamume amekuwa virgin kwa kudhamiria, huyu ni bomba, ina maana aliamua kujitunza na anajua cha kufanya pale atakapoamua kuanza kushughulika, iwe ktk ndoa au ktk mahusiano na mwenzi wake, hata kama hajui, ni rahisi kujua na kupata mwelekeo...