I salute and love women!

Too much..
Kila siku hii maneno!
Mbona wanaume hamuwasemi kama mnawapenda! ..kweeek!
 
haha haaaaaaaaa na huyu jamaa nae karudia tena, mkubwa hii thread ilishatolewa twice na we ni watatu.
 
haha haaaaaaaaa na huyu jamaa nae karudia tena, mkubwa hii thread ilishatolewa twice na we ni watatu.
Tena huyu jamaa ameikopi kwa Michuzi! Wakati kule michuzi alisema kabisa ameitoa JF, hahahahaha!
 
HII sredi inadhihirisha ni namna gani watu walivyo wasahaulifu
 
hivi nyie watu mnao bandika thread kwa mtindo wa kurudia rudia mnafanya makusudi? kwanini mnawapa mods kazi za kuunganisha hizi thread bila sababu ya msingi? Kwani waga hamsomi thread zingine jamani?

Uwezekano mkubwa ni kwamba wanaorudia wanakuwa hawajasoma threads zilizotangulia, sidhani kama wana maana ya kuudhi wenzao.

Just being curious, kama hujabahatika kuzisoma zilizotangulia, unajuaje kama ilishabandikwa kabla? Tuelimishane
 
To me it was a 'real-time' thing! I read it. So, if u can forgive, then forget, but for new readers...enjoy! Cheers
 
just curious, who was the first author wa hii hapa JF? maana naona kila mtu anaongeza kionjo kidogo na kujiaminisha kwamba yeye ndo author. Mi kwa mara ya kwanza niliiona ya chrispin, je kuna mwingine aliyekuwa ameileta kabla ya hapo?
 
Mume wangu,
ole wako ufanye yoyote kati ya haya halafu utegemee ntanyamaza.

Enzi za wanaume kuonea wanawake kwa sababu ya jibnsia yao soft zimepita!!

kuna tukio nililiona maishani:
acheni niwape heshima iliyotukuka wanawake woote;
imagine:


anakufumania: Analia, ananyamaza, anasononeka, unambembeleza anakuelewa anakusamehe halafu anasahau!!!

unazaa nje ya ndoa: Anasononeka na kulia sana. Anakuchukia lakini baadaye anakusamehe. Halafu analea mtoto uliyemzaa nje kwa upendo. Kama ni kuchukiwa atachukiwa mtoto, si wewe uliyefanya umalaya!

unarudi usiku wa manane ukiwa mtungi: Anakukaribisha, anakuandalia chakula, unagoma kula. Anahifadhi chakula alichokuandalia bila manung'uniko.

unaamka asubuhi na mahangover: Anakuandalia staftahi (saa nyingine unagoma kutumia staftahi yake unakimbilia baa kwenda kunywa supu na kuzimua. Wala halalamiki!

chakula cha usiku: Ushapiga mtungi wako, unataka huduma. Unamrukia, hamna maandalizi unamuumiza. Anavumilia ili akuridhishe. Na kesho yake tena inaweza tokea hii; hana kinyongo!

unajiandaa kwenda kibaruani: Unakuta kashakuandalia viwalo, suruwale imenyooshwa kama ya askari trafiki, shati limepigwa pasi ya maana! Nguo ulizovua jana zimeshalowekwa tayari kwa kufanyiwa usafi! Ulichomuudhi jana kashasahau na kukusamehe!

unampa ujauzito: Anauthamini, anautunza anajifungua kwa uchungu, mtoto anakuachia wewe umpe jina, la kwake halimo kabisa kwenye majina atakayotumia mtoto! Na pamoja na uchungu wa kuzaa, bado yuko radhi kukuzalia mtoto mwingine na mwingine tena!

na mengine meeeeengi sana wanafanyiwa hawa watu lakini wanasamehe, wanavumilia! Ni watu muhimu sana hawa watu maishani mwangu!

hivi ingekewa wanaume



tunafanyiwa hivi ingekuwaje?

kwa leo acheni tu niwape



heshima zao wanawake wote:

 
Sounds like a broken record...Let us not mistake kindness for stupidity and even in the most noblest of souls with such disrespectful accolades evil may be borne. Again I say these are what make women to be treated like doormats.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom