Nawezaje kupata Internet connection ktk simu ya Blackberry 9630?

Opportunist

Member
Mar 19, 2009
17
12
Naomba ufafanuzi kwa anayejua hili; Kuna utaratibu gani wa kupata huduma ya internet ktk mobile phone aina ya blackberry kwa mtandao wowote (Tigo, Voda, Zain nk)? Unalipia kama unavyolipia maongezi kwa vocha zetu hizi za kawaida au inakuwaje?
 
Naomba ufafanuzi kwa anayejua hili; Kuna utaratibu gani wa kupata huduma ya internet ktk mobile phone aina ya blackberry kwa mtandao wowote (Tigo, Voda, Zain nk)? Unalipia kama unavyolipia maongezi kwa vocha zetu hizi za kawaida au inakuwaje?
Mitandao inayotoa huduma ya BIS ni mitatu tu kwa hapa Tanzania ni Voda Zain na Zantel, wenye huduma nzuri na bei nzuri ni Zain kwa mwezi wana charge Tsh 35,000/= kuna namna na kujiunga ila kwa sasa nimesahau kidogo, nadhani watakuja wadau wengine watakuelekeza ni namba gani inayotumika kuombea hiyo huduma kwa Zain
 
mkuu nenda zain au voda ila wengi wanapendelea zain zain ni sh 35000 kwa mwezi unakwenda ofisini kwao unaunganishwa fasta tu
 
Kwa mtandao wa zain unaweka kwanza hela ya madafu tsh 35 elfu halafu unatuma ujumbe mfupi ukiandika herufi bb na kutuma namba 15344 unatumia siku 30 nimetumia vodacom na zain lakini naona zain ni zaidi kwa bis
 
Je kwa blackberry 8900 kwa zain au voda unjiunga vp maana naona kwa hawana hyo. Je unaweza kutumia model nyinge kwa kujiunga na blackbeery 8900?
 
Kwa voda tuma 50MB Kwenda 123 watakata 2000/= na utaitumia hiyo bundle kwa mwezi. Zain tuma neno internet kwenda no 15444 watakata 2500/= na utapewa data bundle yenye 400MB itatumika ndani ya mwezi moja, zain ndo dau ndogo yenye bundle zaidi voda.
 
Back
Top Bottom