WoS:
Society yoyote yenye "moral principles" huwa inawiwa kufahamu hata kiatu cha aina gani kiongozi wao anavaa - kama kiongozi ni lazima uwe una maadili na makuzi ambayo yatawapa watawaliwa "confidence" ya kutawaliwa. Tatizo kubwa sisi Wa-Tanzania na Afrika kwa ujumla tunashadidia "immoralities" za viongozi. Unakuta gari la "state house" limesimama "nyumba ya kulala wageni" Tandale unachekela na kumsifu aliyekuwa na hilo gari!
Kwa umri alionao huyu Mama lazima tufahamu "background" yake ili "tumkubali" - Bunge ni la Watanzania Wote - She is not Allien - Ni mwanamke kama wanawake wengine - lazima tuhoji kama Ameolewa?, Ameachika?, Widower?, Ana Watoto?, Hana Watoto?, Ana Umri gani?, Alishawahi kufanya nini?, e.t.c - Ni maswali ya msingi yanayoweza kukufahamisa tabia njema/mbaya ya mtu yoyote yule.