Ziko wapi shule nzuri kitaaluma na kimaadili Dar?

Opportunist

Member
Mar 19, 2009
17
12
Wadau, ni shule gani za elimu ya msingi nzuri kitaaluma na kimaadili, hasa za English Medium? Wapi naweza kupata takwimu ya matokeo ya darasa la 7?
 
canossa primary school tegeta, ni safi kwa maadili pia ada ni reasonable na walikuwa kwenye top 10 darasa la saba na form 4 walikuwa wa pili DSM.
Feza boys nayo ni nzuri kwa maadili.
 
Wadau naamini kuna mabadiliko kwenye hizi shule, napenda kupata maoni ya sasa kuhusu shule nzuri kwa primary
 
Back
Top Bottom