Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

O

Opportunist

Member
Joined
Mar 19, 2009
Messages
17
Points
0
O

Opportunist

Member
Joined Mar 19, 2009
17 0
Nina uzito/unene uliokithiri na ningependa kuupunguza bila kudhurika kiafya.

Nimejaribu kusoma websites/vitabu kadhaa, wengi wanatoa ushauri/diet plans kutumia bidhaa au vyakula ambavyo naona kama ni vya kizungu, kwa Tanzania sijui kama vipo na kama vipo basi sivijui.

Je naweza kupata ushauri namna ya kupunguza huu mwili kwa kutumia vitu/bidhaa/vyakula vinavyopatikana Tanzania?

Help, help, help please.
-kwanza kabisa penda kufanya mazoezi ya kutembea, uwe unatembea (jogging) kama dk 30 hivi kwa siku.
-Kunywa lita ya maji ya uvugu vugu kila siku asubuhi baada ya kuamka, maji hayo changanya na kipande cha limao. Kunywa maji kabla ya kula breakfast.
-Kama mnywaji wa beer jitahidi kupunguza angalau uwe unakunywa mara chache kwa week, kama ulikuwa unakunywa beer 6 kwa siku, sasa anza kunywa 1 tu.
-Penda kula matunda na mboga za majani,punguza ulaji wa red meat (nyama kama za cow au mbuzi) penda kula lean meat. Kama mlaji wa kuku usile ngozi yake.
-Vinywaji vya sukari nyingi navyo ni vizuri kuepuka kama soda, kama huwezi unaweza kupunguza ktk unywaji wake.

Kama utafuata vizuri maelekezo hayo, I hope utapunguza uzito wako.
Ukitaka kupunguza unene na maradhi mengi yaondoke ufuate yafuatayo muda wa mwezi au zaidi:

1. Kabla ya kula kwa nusu saa unywe maji gilasi moja au mbili au tatu au zaidi na baada ya nusu saa au robo saa:
2. Ule salata sahani kubwa sana sana na inaruhusiwa kula matunda na baada ya kula salata
3. Ule chakula chako kisiwe na mafuta mafuta.
4. Huruhsiwi kabisa wakati wa chakula kunywa maji na pia baada ya chakula ila baada ya masaa mawili.
5. Chakula cha usiku kiwe mapema na kidogo sana.
6. Ukiwa na tumbo kikubwa na huna mimba basi ili tumbo kiondoke haraka uchukue magamba ya kabichi uipashe moto kidogo sana yaani upate mvuke khalafu magamba uitie nje ya tumbo lako uifunge vizuri mpaka asubuhi katika siku mbili utaona kua umepungua zaidi ya kilo mbili.
Mazoezi muhimu kama walivyosema wadau. Unaweza kuanza kutembea kwa dakika 30 kama huwezi kukimbia. Kula kiwango kidogo cha chakula atleast baada ya kila masaa matatu hii inasaidia sana mwili wako kuunguza calories zaidi.

Unapokaa muda mrefu bila kula kitu chochote mwili unakuwa unapunguza process ya kuunguza calories. Halafu jaribu kula mlo wa jioni mapema mno kama kumi na mbili jioni hivi na usiwe mwingi.na katika kila mlo hakikisha unapata proteins.

Green tea pia inasaidia sana weka sukari kidogo sana kama unahitaji. Kunywa green tea mara tatu kwa siku yaani kila baada mlo. Kama unapenda mayai usile ini. Kula samaki, matunda, mboga mboga hizi zote kwa kiwango kidogo sio kingi.

Mlo wako usizidi saizi ya ngumi yako unaweza kutumia kauli hio. Na kama ni kidogo sana ni vizuri kama nilivyosema hapo juu kula kila baada ya masaa mawili au matatu.

I hope nimesaidia kidogo kama kuna ufafanuzi zaidi unahitaji niambie.
Cinnamon and Honey formula for weight loss

This should be prepared at night before going to bed.

1. Use 1 part cinnamon to 2 parts raw honey. 1/2 tsp cinnamon to 1 tsp honey is recommended but can use more or less as long as in the ratio of 1 to 2. --- so 1 tsp cinnamon to 2 tsp raw honey is ok too as an example.

2. Boil 1 cup...that is 8 oz of water.

3. Pour water over cinnamon and cover and let it steep for 1/2 hour..(30 minutes)

4. Add honey now that it has cooled. Never add honey when it is hot as the heat will destroy the enzymes and other nutrients in the raw honey.

5. Drink 1/2 of this directly before going to bed. The other 1/2 should be covered and refrigerated.

6. In the morning drink the other half that you refirgerated...but do not re-heat it...drink it cold or at room temp only.

Do not add anything else to this recipe. No lemon, no lime, no vinegar. It is not necessary to drink it more time in a day...it is only effective on an empty stomach and primarily at night.
Asali, Limao, Maji ya Moto/Uvuguvugu au Chai na nidhamu ya kufunga siku chache inaweza kukupa afya na shape uitakayo huku ukipunguza uzito na kuondoa nyama uzembe aka mafuta.

 • Je wewe ni Obesity?
 • Au ni mnene na hupendi uwe hivyo?
 • Je, una kitambi, mafuta ya ziada, cellulite nk ambavyo unataka viondoke?
 • Je unapenda kupunguza kilo 1 kwa siku?
 • Je, unayodhamira ya kufuata masharti rahisi kwa ajili ya kupunguza uzito?

Je, unajua kwa kufuata simple program ya kutumia Asali na Limao/Lemon unaweza:


 • kupunguza kilo moja kwa siku
 • Kuondoa sumu mwilini
 • Kuifanya ngozi yako ya kuvuatia
 • Kuondoa mafuta yasiyo na kazi mwilini
 • Kuondoa kitambi uzembe
 • kuwa na shape uitakayo
 • nk?

Je, ni kwa namna gani?

Wakati naendelea kumalizia article ambayo imesaidia wajanja wengi:

 • bila sijui kufuata ratiba kali ya diet,
 • au kutumia sijui slimming belt,
 • au cream ya kupaka kuondoa mafuta,
 • au mazoezi ya nini na nini sijui

Peruzi kidogo ili ujiridhishe na ukiweza anza kujibu maswali yafuatayo:

 • Asali ni nini na
 • inafanya kazi gani mwilini na pia
 • Lemon ni nini na
 • inafanya kazi gani mwilini, na pia
 • maji ya moto au uvuguvugu ukinywa yana faida gani
 • na yanafanya kazi gani mwili
There's nothing like a weight loss strategy that takes almost no time or effort--but still works like a charm! Here are 10 successful strategies to cut calories and burn fat that literally take 60 seconds or less.

1. Mix a juice spritzer
Combine your favorite juice (half of your usual amount) with plain or sparkling water. You can cut up to 85 calories per glass--and lose 5 pounds or more a year.

2. Walk while you talk
Burn calories while you talk on the phone: Do the laundry (68 calories), set the table (85), or water plants (102).

3. Study the wrapper
At a quick glance, that candy bar appears to contain 220 calories. But a closer look may reveal that it (or a bottle of juice, bag of crackers, or bag of nuts) provides two or more servings--which more than doubles those calories.

4. Sip green tea before a walk
The caffeine frees fatty acids so that you burn fat more easily. And the polyphenols (antioxidant compounds) in green tea appear to work with caffeine to increase calorie burn. (If you have high blood pressure, skip this tip.)

5. Pack a lunch
Dining out more than 5 times a week may make you eat more--nearly 300 calories a day--than if you dine out less frequently.

6. Dip your bread
Use olive oil in place of butter. It's healthier and may also help you eat less. In a recent study, dippers ate a total of 52 fewer calories, on average, than those who used butter.

7. Sprinkle flax on cereal
High-fiber ground flaxseed can help curb your appetite and eliminate calories. Add it to yogurt or muffin and bread mixes--it's available in health food stores.

8. Schedule a blood test
About 1 in every 12 women (most of whom don't know it) has an underactive thyroid, which can slow down her metabolism.

9. Supersize your H2O
Buy the big bottle when it comes to good-for-you stuff such as water: You'll drink more.

10. Eat a chunky salad
Chop carrots, celery, sweet potatoes, zucchini, or other veggies instead of shredding or slicing. It takes more effort to munch bigger pieces; you'll do more chewing and eat less during the main course.

http://health.yahoo.com/featured/83/10-weight-loss-tips-that-work-in-one-minute-or-less/
 
Pretty

Pretty

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2009
Messages
2,581
Points
1,225
Pretty

Pretty

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2009
2,581 1,225
-kwanza kabisa penda kufanya mazoezi ya kutembea, uwe unatembea (jogging) kama dk 30 hivi kwa siku.
-Kunywa lita ya maji ya uvugu vugu kila siku asubuhi baada ya kuamka, maji hayo changanya na kipande cha limao. Kunywa maji kabla ya kula breakfast.
-Kama mnywaji wa beer jitahidi kupunguza angalau uwe unakunywa mara chache kwa week, kama ulikuwa unakunywa beer 6 kwa siku, sasa anza kunywa 1 tu.
-Penda kula matunda na mboga za majani,punguza ulaji wa red meat (nyama kama za cow au mbuzi) penda kula lean meat. Kama mlaji wa kuku usile ngozi yake.
-Vinywaji vya sukari nyingi navyo ni vizuri kuepuka kama soda, kama huwezi unaweza kupunguza ktk unywaji wake.

Kama utafuata vizuri maelekezo hayo, I hope utapunguza uzito wako.
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,173
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,173 2,000
Kupunguza Unene yaani kukonda mwili mwenye kutaka kupunguza Unene mwilini Adumishe kula Nanaa iliyokuwa kavu Achemshe na maji anywe Nanaa kwa kiingereza inaitwa(Mint)na Kunywa Siki ya Zabibu au ya (Apple cider Vinegar ) Kijiko kimoja kila Asubuhi Kabla ya kula kitu na Kabla ya Kulala Usiku. atapunguwa unene Mwilini.
 
Kyakya

Kyakya

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2009
Messages
398
Points
195
Kyakya

Kyakya

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2009
398 195
Pia kama unapata sana kinywaji aina ya Beer punguza ama anza kunywa vinywaji vikali kama Konyagi lakini sio sana na upunguze sana kulakula.
 
O

Opportunist

Member
Joined
Mar 19, 2009
Messages
17
Points
0
O

Opportunist

Member
Joined Mar 19, 2009
17 0
Kupunguza Unene yaani kukonda mwili mwenye kutaka kupunguza Unene mwilini Adumishe kula Nanaa iliyokuwa kavu Achemshe na maji anywe Nanaa kwa kiingereza inaitwa(Mint)na Kunywa Siki ya Zabibu au ya (Apple cider Vinegar ) Kijiko kimoja kila Asubuhi Kabla ya kula kitu na Kabla ya Kulala Usiku. atapunguwa unene Mwilini.
Nawashukuru kwa michango yenu. Can someone tell me more about these products (Mint & Siki ya zabibu/apple)? Zinapatikana wapi na hasa jijini Dar? Siki ya zabibu/apple ni juisi bila maji?
 
WomanOfSubstance

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Messages
5,465
Points
0
WomanOfSubstance

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
Joined May 30, 2008
5,465 0
Nawashukuru kwa michango yenu. Can someone tell me more about these products (Mint & Siki ya zabibu/apple)? Zinapatikana wapi na hasa jijini Dar? Siki ya zabibu/apple ni juisi bila maji?
Apple cider aliyotaja ndugu hapo juu utaipata kwenye supermarkets kubwa kama Shoppers' plaza na pia shoprite.
Mint utaipata hukohuko ila ni kavu - angalia kwenye shelf za spices.Ukitaka Mint mbichi basi jaribu soko la Kisutu.
 
U

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Messages
4,746
Points
1,225
U

uporoto01

JF-Expert Member
Joined May 23, 2008
4,746 1,225
Kupunguza unene/uzito kwa lugha nyepesi ni kula chakula cha kutosha mahitaji ya mwili wako kutegemea na kazi unayofanya.Kwa mfano mtu anaekaa ofisini siku nzima mwili wake hauwezi tumia milo mitatu mikubwa kwa siku,lakini kuli mbeba mizigo sokono anaweza kula mara 5 na mwili wake ukatumia chakula chote na asinenepe.Hatua ya kwanza ni kula nusu ya chakula ulichozoea kula kwa muda na kuangalia mabadiliko.
 
Oxlade-Chamberlain

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Messages
8,005
Points
1,500
Oxlade-Chamberlain

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined May 26, 2009
8,005 1,500
Mazoezi muhimu kama walivyosema wadau. Unaweza kuanza kutembea kwa dakika 30 kama huwezi kukimbia. Kula kiwango kidogo cha chakula atleast baada ya kila masaa matatu hii inasaidia sana mwili wako kuunguza calories zaidi.

Unapokaa muda mrefu bila kula kitu chochote mwili unakuwa unapunguza process ya kuunguza calories. Halafu jaribu kula mlo wa jioni mapema mno kama kumi na mbili jioni hivi na usiwe mwingi.na katika kila mlo hakikisha unapata proteins.

Green tea pia inasaidia sana weka sukari kidogo sana kama unahitaji. Kunywa green tea mara tatu kwa siku yaani kila baada mlo. Kama unapenda mayai usile ini. Kula samaki, matunda, mboga mboga hizi zote kwa kiwango kidogo sio kingi.

Mlo wako usizidi saizi ya ngumi yako unaweza kutumia kauli hio. Na kama ni kidogo sana ni vizuri kama nilivyosema hapo juu kula kila baada ya masaa mawili au matatu.

I hope nimesaidia kidogo kama kuna ufafanuzi zaidi unahitaji niambie.
 
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2009
Messages
9,565
Points
2,000
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2009
9,565 2,000
elimu nzuri sana kwa faida ya wote
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,173
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,173 2,000
Kupata Siki ya Zabibu au Apple zinapatikana katika Maduka ya Super Market na hiyo Nanaa au kwa jina la kizungu (Mint) nenda kwa Maduka ya Waarabu au Wapemba Wanaouza Dawa za kiarabu Kariakoo Uliza watu watakuafahimisha wapi utapata asante sana

(Apple Cider Vinegar Cures)


Soma Zaidi Faida Za Siki Ya Apple (Apple Cider Vinegar Cures)
Apple Cider Vinegar, that wonderful old-timers home remedy, cures more ailments than any other folk remedy -- we're convinced! From the extensive feedback we've received over the past 8 years, the reported cures from drinking Apple Cider Vinegar are numerous. They include cures for allergies (including pet, food and environmental), sinus infections, acne, high cholesterol, flu, chronic fatigue, candida, acid reflux, sore throats, contact dermatitis, arthritis, and gout. One reader reported that a shot of ACV saved him from going to the emergency room for heart pain. Apple Cider Vinegar also breaks down fat and is widely used to lose weight. It has also been reported that a daily dose of apple cider vinegar in water has high blood pressure under control in two weeks!

Apple Cider Vinegar is also wonderful for pets, including dogs, cats, and horses. It helps them with arthritic conditions, controls fleas & barn flies, and gives a beautiful shine to their coats!
If you can get over the taste of apple cider vinegar, you will find it one of the most important natural remedies in healing the body. As a wonderful side effect of drinking apple cider vinegar every day, we've discovered that it brings a healthy, rosy glow to one's complexion! This is great news if you suffer from a pale countenance. Ukitaka zaidi kuhusu Apple Vinegar Cures


Bonyeza hapa
Apple Cider Vinegar cures - the best NATURAL home remedy for many health issues.

Herbal remedies using Mint (Mentha spicata)

Also known as garden mint, spearmint and lamb mint.

There genus of 25 different species, which are variable, but Mentha Spicata is normally used in herbal infusions.
The use of herbal remedies, including the herb mint (garden mint, spearmint, lamb mint) classified as Mentha spicata, are popular as an alternative to standard Western allopathic medicine for a variety of problems, including digestion, heartburn as well as nausea.
The genus "Mentha" consist of 25 different species, which are variable, but Mentha Spicata is normally used in herbal infusions.
Mentha is an effective remedy for various ailments, and this natural holistic approach to health is becoming more and more popular, but should NOT replace conventional medicine or prescription drugs.Ukitaka Zaidi kuhus Huu Mmea wa Mint Bonyeza hapa Mint (Mentha), also known as garden mint, spearmint and lamb mint is used for digestion as well as nausea.(The genus "Mentha"consist of 25 different species, which are variable, but Mentha Spicata is normally used in herbal infusions)
 
Last edited:
NGULI

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Messages
4,812
Points
1,225
NGULI

NGULI

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2008
4,812 1,225
Mimi nilinenepa sana labda kama wewe, nilitokea kilo 73 hadi 90 kwa wiki 6, niliota kitambi na nilikuwa mzito nilianza kuhisi dalili zote za maleria na nikienda hospital wanadai ni maleria kumbe ni colestral ilikuwa juu pamoja na sulphur (shauri ya kutumia coartem) kwa mwezi nilikuwa natumia mara 2.

Nikiwa chuoni nilimweleza dr. mmoja niliyekuwa nasoma nae akaniambia huo ni uzit, kupima ndio nikagundua niliyotaja hapo juu, nililijiunga na gym nikafanya mazoezi ya aerobic one hr every day, asubuhi nakula brown bread vipande viwili na chai, saa tano matunda kilo moja(fruit salad) saa 7 kamili vipande viwili tena vya brown bread na natural jam, ili tusigombane na mke wangu kipenzi ameangaika kupika nikifika nakula chochote alichoanda usawa wa ngumi ila sio deep fried food na tumekubaliana.

Maji asubuhi nakunywa lita 1 saa 4 lita 1 saa 8.30 lita 1 saa 10 nakunywa nusu lita saa ya mazoezi nakunywa one liter yote uvuguvugu kwa miezi 3 nimepungua hadi kufikia kilo 72.

Sina cha colestral wala sulphur, ukishindwa mazoezi kabisa kunywa maji mengi sana epuka manyama na kileo kama walivyoshauri waliotangulia.....
 
M

Magehema

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2008
Messages
449
Points
195
M

Magehema

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2008
449 195
Nina uzito/unene uliokithiri na ningependa kuupunguza bila kudhurika kiafya. Nimejaribu kusoma websites/vitabu kadhaa, wengi wanatoa ushauri/diet plans kutumia bidhaa au vyakula ambavyo naona kama ni vya kizungu, kwa Tanzania sijui kama vipo na kama vipo basi sivijui. Je naweza kupata ushauri namna ya kupunguza huu mwili kwa kutumia vitu/bidhaa/vyakula vinavyopatikana Tanzania? Help, help, help please.
Yote walosema wanaJF nakubaliana nayo ila nyongeza moja ndogo sana, epuka kula chakula usiku, kama unaweza kula matunda matunda. Mchana na asubuhi ruksa kula ila usiku tumia matunda utajionea mabadiliko.
 
A

agika

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
381
Points
0
A

agika

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
381 0
Pia kama unapata sana kinywaji aina ya Beer punguza ama anza kunywa vinywaji vikali kama Konyagi lakini sio sana na upunguze sana kulakula.
weeee tena naona unataka apunguze tatizo la unene ayakaribishe matatizo ya maini.................. mhhhhh kyakya? .....
 
A

agika

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
381
Points
0
A

agika

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
381 0
Oxlade-Chamberlain

asante mkuu nilikuwa sijui kama kuto kula kunapunguza process ya kuuunguza calories.
 
Last edited by a moderator:
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
7,881
Points
2,000
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
7,881 2,000
Oxlade-Chamberlain

I hope hata kitambi nacho kitasepa kwa style hii...u?
 
Last edited by a moderator:
Oxlade-Chamberlain

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Messages
8,005
Points
1,500
Oxlade-Chamberlain

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
Joined May 26, 2009
8,005 1,500
I hope hata kitambi nacho kitasepa kwa style hii...u?
yeah inasaidia pia.siri ya kupunguza kitambi ni kula kiwango kidogo cha chakula na kukaa mbali na vyakula vya mafuta au kukaanga.kama unaweza usile wali kabisa kwa mda flani na ni mbaya zaidi kula wali jioni.badala ya wali unaweza kula viazi vitamu vya kuchemsha kidogo.
unaweza kula mlo wa asubuhi saa mbili (cereal inatosha ) ,saa nne asubuhi pata tunda ,saa saba mchana chakula kidogo, saa kumi jioni salad kidogo au tunda , saa moja jioni chakula kidogo.green tea its a plus na maji glass 8 kwa siku.

Kama unaweza fanya sit ups pia hio itasaidia kupata matokeo kwa haraka zaidi.usikose mboga za majani kwenye mlo wa mchana na jioni.
 
The Farmer

The Farmer

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2009
Messages
1,660
Points
1,500
The Farmer

The Farmer

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2009
1,660 1,500
Pia kama unapata sana kinywaji aina ya Beer punguza ama anza kunywa vinywaji vikali kama Konyagi lakini sio sana na upunguze sana kulakula.
Vinywaji vikali si ndio atazidisha kula, badala ya kupungua ndio atakuwa anaongezeka!
 
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
7,881
Points
2,000
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
7,881 2,000
Kama unaweza usile wali kabisa kwa muda flani na ni mbaya zaidi kula wali jioni.
Mkuu AW, thanks lakini bado nina tatizo na hoja....

Tatizo hasa la wali ni nini?

Hapa unazungumzia usiku na mchana pia?

Muda gani ni appropriate?

Hii imekuwa proved na inafanya kazi?
 
O

Opportunist

Member
Joined
Mar 19, 2009
Messages
17
Points
0
O

Opportunist

Member
Joined Mar 19, 2009
17 0
Thanks people! I will try my best to work on ur advices. I strongly hope it will clear my mess. Again, thanks JF Doctors!
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,173
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,173 2,000
If you're like most Americans, you've gained about 5 pounds since Thanksgiving. Each small holiday-season indulgence may have seemed like no big deal at the time, but added all together, they created the perfect storm for a juggernaut of jiggle. Don't believe us? Consider the caloric damage of typical holiday activities-weekly parties, with buffet tables lined with goodies and treats; cookies and cakes delivered by your well-intentioned neighbors; and seasonal beverages, from holiday lagers to rum-spiked eggnogs, that had you washing down those hundreds of extra calories with, well, hundreds of extrea calories. It's no wonder Baby New Year always makes her debut toting a gargantuan gut!In 2010, vow to eat better-not less, just better. Add these 9 best foods for weight loss to your daily (or weekly) diet, and watch as the pounds melt away. The best-selling weight loss series Eat This, Not That! shows you how to make a weight-loss resolution worth sticking to.
Full-Fat Cheese
This dairy product is an excellent source of casein protein-- one of the best muscle-building nutrients you can eat. What's more, Danish researchers found that even when men ate 10 ounces of full-fat cheese daily for 3 weeks, their LDL ("bad") cholesterol didn't budge.


Bonus tip: See which cheese won the distinction of "best" in the annual 125 Best Supermarket Food Awards.

Ice Coffee
Coffee reduces your appetite, increases your metabolism, and gives you a shot of antioxidants. A study published in the journal Physiology & Behavior found that the average metabolic rate of people who drink caffeinated coffee is 16 percent higher than that of those who drink decaf. Caffeine stimulates your central nervous system by increasing your heart rate and breathing. Honestly, could there be a more perfect beverage? Plus, frequent mini servings of caffeine (8 ounces of coffee or less) keep you awake, alert, and focused for longer than a single jumbo one would, according to sleep experts. When you quickly drink a large coffee, the caffeine peaks in your bloodstream much sooner than if you spread it out over time. Start your day with an 8 ounce coffee (the "short" size is available by request at Starbucks). Or, ask for a large half caf. Then keep the caffeine lightly flowing with a lunchtime cappuccino (it's got only 75 mg, which is about one quarter of what you'd get in a 16 ounce coffee).


Bonus tip: Don't derail your diet. See our indespensible list of the 20 Worst Drinks in America.
Grapefruit
In a recent study, Louisiana State University scientists discovered that people who ate half a grapefruit three times a day lost 4 pounds in 12 weeks, even though they hadn't deliberately altered any other part of their diets. Although the mechanism isn't clear, the researchers speculate that grapefruit's acidity may slow your rate of digestion, helping keep you full longer.
Apple
Turns out, an apple a day may also keep the extra weight away. Penn State researchers discovered that people who ate a large apple 15 minutes before lunch took in 187 fewer calories during lunch than those who didn't snack beforehand. (The apples had around 128 calories.) What's more, they reported feeling fuller afterward, too. Sure, the fruit is loaded with belly-filling fiber, but there's another reason apples help you feel full: They require lots of chewing, which can make you think you're eating more than you really are, says study author Julie Obbagy, Ph.D.Eggs
Skip the cold cereal: Eating eggs and bacon in the morning can help you control your hunger later in the day. Indiana University scientists determined that dieters who consumed their biggest dose of daily protein at breakfast felt full longer than those who ate more of the nutrient at lunch or dinner. The upshot: "They were less likely to overeat the rest of the day," says study author Heather Leidy, Ph.D. To fend off hunger, shoot for at least 20 to 30 grams of protein at breakfast.


Bonus tip: Just because it's made with eggs doesn't make it good for you-see our worst omelet in the list of 20 Worst Restaurant Foods in America 2009.
Beans
If you're not a legume lover, consider this: In the National Health and Nutrition Examination Survey, scientists found that people who consumed beans were 23 percent less likely to have large waists than those who said they never ate them. The bean eaters in the survey also tended to have lower systolic blood-pressure measurements, says research Victor Fulgoni III, Ph.D. Legumes are rich in belly-filling fiber as well as potassium, which helps fight hypertension. Aim for half a cup of cooked beans 3 or 4 days a week.
Salmon
Fish isn't just good for your heart; it's good for your gut, too. That's because omega-3 fatty acids help you feel full longer, report scientists from Iceland. In the study, dieters who ate salmon felt fuller 2 hours later than those who either didn't eat seafood or had cod, a fish with little fat. The researchers found that eating foods high in omega-3s (like the ones to the left) increased blood levels of leptin, a hormone that promotes satiety. Hate fish? Take a fish-oil capsule every day - one that has 500 milligrams of the omega-3s DHA and EPA. It offers the same benefits as salmon.
Milk
Instead of fruit juice, reach for moo juice in the morning. Drinking milk at breakfast can help you eat less at lunch, Australian scientists say. In their study, overweight people who downed about 2 1/2 cups of skim milk in the morning consumed 8.5 percent fewer calories at an all-you-can-eat lunch spread than people who drank the same amount of fruit juice. Both beverages had an equal number of calories, but the milk contained 25 grams of protein while the fruit juice had virtually no protein and 63 grams of sugar. Those may be big servings, but the principle remains: Protein helps you feel fuller throughout the morning.


For thousands of great tips like these, be sure to download the Eat This, Not That! iPhone app-it's like having your own personal nutritionist always at your fingertips!
------------
TW-Eat This! Follow Eat This, Not That and the author, Dave Zinczenko, on Twitter!
Check out the cutting-edge guide to fast and easy weight loss, the brand-new Big Book of Exercises.

Get more nutrition, health, and fitness secrets from Men's Health: Subscribe today with this special offer and save 50% off the cover price.Best and Worst Foods! Get the new book!


For Kids! Supermarket Guide
http://health.yahoo.com/experts/eatthis/41903/top-weight-loss-foods-for-2010/

 

Forum statistics

Threads 1,315,258
Members 505,171
Posts 31,851,647
Top