Do Women like Virgin men?

I think virgin man ni bora, maana hajui chochote kuhusu wanawake. Hivyo ataridhika tu na jinsi mke wake alivyo, maana hajui vionjo vingine.
 
Pretty,
Huyu ni mume au boyfriend?( without going into the morality of this subject)
Mume ambaye haja experience kitu...nadhani ni hatari sana mbele ya safari maana atataka kujaribu huku na kule....
 
Inategemea ndugu yangu, wapo baadhi ya wanaume ni kweli wanakuwa virgin hadi wanapooa, hata wakioa huwa wanatulia kwenye ndoa zao vizuri tu.
 
But myself i like Virgin women.

Would you choose the used car and leave the new one?

Sio kila mtu anaye afford brand new car.
Tukirudi kwenye swali la msingi, Khruschev alisema "if you can't eat horse meat then you should eat pork........" Wako wanaopenda na wasiopenda,kwa hiyo mwisho wa siku it boils down to individual taste.
 
Isomeke "does women like virgin Men"?
au"Does waman likes virgin man"?
kwa sababu mwanamke huwa anatumia she na always kama kuna she/he basi huwa zinaendana na "does" na kama utatumia wingi wa wanawake yaani women lzm iendane na"like"kwani ni wingi,na kama utatumia woman ikiwa ni uchache wa mwanamke lzm iendane na "likes"
Ni ushauri wangu tu na sio lzm niwe correct
 
Mimi naiona katika mitazamo miwili:
1) Kama huyu mwanamume amekuwa virgin kwa kudhamiria, huyu ni bomba, ina maana aliamua kujitunza na anajua cha kufanya pale atakapoamua kuanza kushughulika, iwe ktk ndoa au ktk mahusiano na mwenzi wake, hata kama hajui, ni rahisi kujua na kupata mwelekeo sahihi.
2) Kama huyu mwingine yuko virgin na hajui kwa nini bado hajajaribu, au mwoga au nini, ah, huyu ni tatizo, sidhani kama atapendelewa na mwanamama, maana hajui kitu gani afanye wakati gani na kwa jinsi gani...kwa kweli, ata-bore.
 
I think virgin man ni bora, maana hajui chochote kuhusu wanawake. Hivyo ataridhika tu na jinsi mke wake alivyo, maana hajui vionjo vingine.

Unachoseme pretty ni kweli,lakini hasijekutokea mtu akamuonjesha huyu atakuwa hakamatiki.Lakini kama atastay within the perimeter,atakuwa akiamini kwamba mke wake ndo the katika masuala mazima ya malavidavi,hii inaweza kuleta amani katika ndoa hasa kwa mwanamke.
 
bora huyo, kwasababu hana mawazo mengine na wanawake wengine, pamoja na kwamba siku akionjeshwa na mtu wa nje, katu hatoshikika tena, anahama kabisa.

You people have got to understand that, kutulia au kutotulia kwenye ndoa haiji kwa nguvu za mwili. inakuja kwa nguvu ya kushinda dhambi, nguvu ambayo mtu huipata kwa njia ya kuokoka kumpa Bwana Yesu Kristo maisha yake, na kupokea kipawa cha Roho Mt. kitakachomuongoza maisha yake. ukifanya hivyo, hakika mtu akikuletea masuala ya kufanya uzinzi, utatamani kutapika, hutaki kabisa na unachukia dhambi pamoja na kwamba itakuwa inakujaribu mara kwa mara, haitakushinda.

hadi kuuliza swali hilik,watu wanajaribu kufikiri namna watakavyotulia na watu kwenye ndoa wasitoke nje, au wengine wanafikiri labda wale virgin men wanakuwa hawajui. hakuna mtu aliyezaliwa na elimu yoyote ile. kwanza wote mkiwa watu wa Mungu, mtafundishana na mtajikuta mmeenda vizuri tu na maisha yenu mazuri yanaendelea bila shaka. ila kama watu hamjaokoka, hakika nakwambia mtu anaweza akawa virgin man or woman akabambaruka akageuka akawa si kama ulivyomzania. okokeni wajameni.

ukimwi hauishi siku hizi, ni kwasababu kwa nguvu hizi za kawaida watu hawawezi kuushinda uzinzi. pamoja na kwamba ukimwi unaambukizwa na mambo mengine kama blood transfussion etc, lakini ukiwa kwa Mungu jamani utalindwa na yote hayo. hebu fikiri, unakuwa na mume ambaye hajaokoka na unajua wakati wowote anaweza kulala na mwanamke mwingine, au mume mlevi ambaye anaweza kulala na mtu yoyote ulevini, au mke mlevi, asiye na nguvu ya kushinda dhambi....usalama wenu uko wapi?

hapa mwenye akili, atarudi nyumbani atamwambia mkewe au mumewe wabadili maisha, waishi maisha ya kumfuata Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi wa maisha yao. kwasababu bila hivyo nakuambieni, hakuna usalama maishani mwenu.
 
Mi hapa bado sijawapata virgin wakutumia mtandao wetu maarufu kwa kujiexpress au wapi tena jamani mmenichanganya sana mpaka nimebaki kimya kwa kipindi kirefu.
 
Wakati wa kumegana atakuwa anawahi kumaliza game mapema ila ni kwa kipindi fulani tu akishabobea utajuta kumfundisha

jamani SIPO mbona kuna wengine wanamaliza mapema sana tu na wamebobea? yaani hawana ishara yoyote ya kuonyesha huyu bado virgin, kaugumu kokote katakoweza kunifanya nihic labda kijana bado virgin? si unaona wanawake inavyokuwa, na nyie nitajuaje?
 
bora huyo, kwasababu hana mawazo mengine na wanawake wengine, pamoja na kwamba siku akionjeshwa na mtu wa nje, katu hatoshikika tena, anahama kabisa.

You people have got to understand that, kutulia au kutotulia kwenye ndoa haiji kwa nguvu za mwili. inakuja kwa nguvu ya kushinda dhambi, nguvu ambayo mtu huipata kwa njia ya kuokoka kumpa Bwana Yesu Kristo maisha yake, na kupokea kipawa cha Roho Mt. kitakachomuongoza maisha yake. ukifanya hivyo, hakika mtu akikuletea masuala ya kufanya uzinzi, utatamani kutapika, hutaki kabisa na unachukia dhambi pamoja na kwamba itakuwa inakujaribu mara kwa mara, haitakushinda.

hadi kuuliza swali hilik,watu wanajaribu kufikiri namna watakavyotulia na watu kwenye ndoa wasitoke nje, au wengine wanafikiri labda wale virgin men wanakuwa hawajui. hakuna mtu aliyezaliwa na elimu yoyote ile. kwanza wote mkiwa watu wa Mungu, mtafundishana na mtajikuta mmeenda vizuri tu na maisha yenu mazuri yanaendelea bila shaka. ila kama watu hamjaokoka, hakika nakwambia mtu anaweza akawa virgin man or woman akabambaruka akageuka akawa si kama ulivyomzania. okokeni wajameni.

ukimwi hauishi siku hizi, ni kwasababu kwa nguvu hizi za kawaida watu hawawezi kuushinda uzinzi. pamoja na kwamba ukimwi unaambukizwa na mambo mengine kama blood transfussion etc, lakini ukiwa kwa Mungu jamani utalindwa na yote hayo. hebu fikiri, unakuwa na mume ambaye hajaokoka na unajua wakati wowote anaweza kulala na mwanamke mwingine, au mume mlevi ambaye anaweza kulala na mtu yoyote ulevini, au mke mlevi, asiye na nguvu ya kushinda dhambi....usalama wenu uko wapi?

hapa mwenye akili, atarudi nyumbani atamwambia mkewe au mumewe wabadili maisha, waishi maisha ya kumfuata Yesu Kristo kama Bwana na mwokozi wa maisha yao. kwasababu bila hivyo nakuambieni, hakuna usalama maishani mwenu.

aaaaaaaaaaaaaaaaaaaggggggggggghhhhhhhhhhhhhrrrrr!!!!!! summary pulizzzzzzzzz
 
Back
Top Bottom