Kuweka mipaka itakua ngumu mkuu wapewe elimu na nguvu iwekwe kuwajibisha wavunja sheria na wanaoenda kinyume na taratibu za kazi zao.. ila bajaji khaa...
Kuna uzembe tena unakua wa wazi kabisa ambao mpaka unafanya sisi tusio watu wa fani hizo za tunajiuliza hivi hawa madaktari wamesomea na kupasishwa kabisa kuhudumia roho za watu au ni uhuni tu. Pamoja na hilo kuna uzembe pia kwa sisi wapokea huduma kwa kiasi fulani kunakukatisha tamaa hawa...
Nimemnyandua sasa huruma yangu nitoe hata cha ten nimbarikie kumbe liizi yaani nilijikuta nammaindi hata sikutaka kumuuliza maana alijikadiria nikamuacha ila nikaapa sirudi ng'oo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.