Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 796
- 1,557
Siku zote mtu ambae ni mnafiki unatakiwa uishi nae kinafiki mana kuna watu wanafik wanaojifanya wema kumbe wabaya anajifanya ni rafiki yako kumbe anakudanganya anaweza kujifanya anakuuliza mipango yako n.k kumbe anataka tu kukuharibia au kukutangaza umbea so! mnafik ish nae kinafiki
Wewe mtu mnafiki unaishi nae vipi?
Wewe mtu mnafiki unaishi nae vipi?