Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 844
- 2,184
Huku mtaani kwetu tupo watatu tu tunatumia JF, tunatokea kwa Chifu Songea Mbano .@cocastic Mwingine jina nimelisahau!
Alo hata sijui me najuaga watumiahi wote wa JF wako Dar. 😄😄Huku mtaani kwetu tupo watatu tu tunatumia JF, tunatokea kwa Chifu Songea Mbano .@cocastic Mwingine jina nimelisahau!
swali la hovyoHabarini wakuu:
vp hapo.kwenu ni wangapi mnaotumia mtandao wa jf au ndo wewe peke yako.? ushawahi kushawishi mtu ajiunge jf.?
😂😂😂 Mlongo, veve uhuma kwoki eti? Jova kangi.Huku mtaani kwetu tupo watatu tu tunatumia JF, tunatokea kwa Chifu Songea Mbano .@cocastic Mwingine jina nimelisahau!
JF Wanatumia hadi wa Songea vijijini, kutoka muhukuru huko.Alo hata sijui me najuaga watumiahi wote wa JF wako Dar. 😄😄
Mlongo, nihumila ku-songea, Msamala.[emoji23][emoji23][emoji23] Mlongo, veve uhuma kwoki eti? Jova kangi.
Watu wa JF hua hawataki kujulikana kama wanatumia JF au ni member wa JF,Wachache mno, kila niliyemuambia hata haijui, anasema anaisikia tu !
Na uzuri tunafahamina kasoro huyo chai kumbe nae ni wa mtaa wetu😅
tupo wanne tu alf tunapendana hatari🤗Na uzuri tunafahamina kasoro huyo chai kumbe nae ni wa mtaa wetu😅
Ni mgeni amehamia siku hizi tu.Na uzuri tunafahamina kasoro huyo chai kumbe nae ni wa mtaa wetu😅
Huyo wa maandazi mbona simjui 😅😅tupo wanne tu alf tunapendana hatari🤗
umeniwahi ila sio mbaya fam...😊
Sijawahi kukutukana kumbafuuuuu aiseee nimechekaaa🤣🤣🤣Ni mgeni amehamia siku hizi tu.
haumjui profesa😅 au nikuokotee maweHuyo wa maandazi mbona simjui 😅😅
Jirani nakupitia baada ya dakika 10 tukapate mishikaki.umeniwahi ila sio mbaya fam...😊