Hapo mtaani kwako wangapi mnatumia JF?

Hapo mtaani kwako wangapi mnatumia JF?

Habarini wakuu:

vp hapo kwenu ni wangapi mnaotumia mtandao wa JF, au ndo wewe peke yako.? Ushawahi kushawishi mtu ajiunge JF?
Peke yangu, kama Kuna mwingine sijui. Hapana, sijawahi kimshawishi yeyote. Kwanini unauliza?!!!
 
Aisee juzi tu ndo nimejua kuwa shemeji yangu anatumia JF baada ya kumtembelea,waliobaki ni wasap,tiktok
Ila nlichojifunza jf inahitaji wanaofikirisha akili,kujenga hoja sio scrollers kama tiktok ndo mana wengi huja na inawashinda.
 
Back
Top Bottom