mourinho namkubali lakini hapa kaniboa, ronaldo kaumia tena analia kwa uchungu kabisa kwa hisia kwa yeyote aliyeangalia game anajua hilo, mtu hadi kashindwa kuukimbili mpira, sio rahisi kwa mchezaji kama ronaldo kuomba mwenyewe atolewe, mimi mwenyewe gheto machozi yalinirenga, pamoja na jeraha...