Jifunze jinsi ya ku-unlock Tecno Y3+

Kutosoma line inategemea vitu vifuatavyo

Je imegoma kusoma vipi, a-haipandishi mtandao(inakua emergency tu)?
B-haisomi kabisaaa na hata line haionekani kwenye simu.?

1,labda terminal za slot ya line zimekatika(vibati) pia ubovu wa hardware kwa upande wa sim slot.

2,imei related problem kwenye receiver ya line 1, (software problems)

3, ubovu wa line (hili naamin si tatizo kwako)

4,settings tu(naamin hili si lako pia)

Nijibu maswali mawili ya juu
Hii itakuwa ni software problem mkuu, imei related problem sasa hapa nasaidikaje mkuu
 
Kutosoma line inategemea vitu vifuatavyo

Je imegoma kusoma vipi, a-haipandishi mtandao(inakua emergency tu)?
B-haisomi kabisaaa na hata line haionekani kwenye simu.?

1,labda terminal za slot ya line zimekatika(vibati) pia ubovu wa hardware kwa upande wa sim slot.

2,imei related problem kwenye receiver ya line 1, (software problems)

3, ubovu wa line (hili naamin si tatizo kwako)

4,settings tu(naamin hili si lako pia)

Nijibu maswali mawili ya juu
2
 
Simu za voda kwa sasa huwez toa kwa njia rahisi hizi zina security ya tofauti,

Btw kama unahitaji unlock code za voda niPm , natoa kwa ofa special kwa jf members tu @5500/=
Mkuu!
Naomba kama unayo code yake
Naomba msaada wako mkuu
Nimehangaka sana kuna SIMU aina ya vodaphone
 
Hapo ngumu kumesa aisee,

Hapo unakua una deal na sheria za nchi na hukumu yake ni ndefu.

Kwa hilo naliweza ila tulishaacha tangu tcra walipotangaza kiama na tukaona wenzetu wakiswekwa ndani, ..

Ushauri: soma online, jinsi ya kufanya repair ya hilo tatizo.
Do at your own risk
 
Ndugu mi natumia Techno C8 inatatizo la kujiwasha camera yenyewe na kupiga picha imeshaniletea kesi mara kadhaa msaada plz
 
Ndugu mi natumia Techno C8 inatatizo la kujiwasha camera yenyewe na kupiga picha imeshaniletea kesi mara kadhaa msaada plz
Je tatizo hilo lipo vipi

1,zinajipiga hata kama umelock screen ?
2, je ushawah kunotice simu ikiwa locked kwa pembeni chini upande wa kulia kuna alama ya camera ?
3,je ulishwahah kunotice application ambazo hujaziweka wewe kwa matakwa yako ?
4, je ni vitu gan umeshawah kujaribu ili mradi kutibu.
5,je ushawah kujaribu kufanya system restore

Nipe majibu fasta fasta
 
Cjafanya system restore ila muda mwingne hata ikiwa imejilock inawasha camera na kupiga hamna chochote nilichowahi kufanya zaid ya kwenda ofic za Techno wakaniambia wakasema tatzo ni software
 
Cjafanya system restore ila muda mwingne hata ikiwa imejilock inawasha camera na kupiga hamna chochote nilichowahi kufanya zaid ya kwenda ofic za Techno wakaniambia wakasema tatzo ni software
Jaribu restore, baada ya hapo ikiendelea nijulishe
 
Aisee hiyo njia ya unlock by flashing haiwezi kubadili imei kweli
tusije kusotea jela bure
Flashing , haiwez kula imei kwa mtu anaejua vizur (pia huwa tufadanya NVRAM/NV ITEMS BACKUP) HII BACKUP HUWA INAHIFADHI TAARIFA MUHIMU IKIWEMA MAC ADRESS, BLUETOOTH ADRESS , IMEI NA SERIAL NUMBER YA SIMU.

so katika flash ukiformart EMMC imei itafutika ila baada ya hapo una restore back up yako ya nvmram na imei inarudi.

Onyo: usitumie hio nvram kwenye simu nyinginw tofauti na yako kwa maana jela itakuhusu

At your own risk.
 
Habari Zenu wana Jf,

Nimekua nikipokea request nyingi sana Pm watu wakiniomba niwaelekeze jinsi ya ku unlock simu ya TECNO Y3+.

Zaidi ya 20 nilishawaelekeza na wamefanikiwa 1000% , haihitaji Pc.

Tuache maneno. Twende na muziki sasa.

Mahitaji:
1,TECNO Y3+
2,INTERNET BUNDLE (Just 2mb)

Fanya yafutayo.

1, kweny hiyo simu ingia PLAYSTORE,alaf download MTK ENGINEERING MODE au MTK ENGINEERING MODE SHORTCUT.

2,Ikishamaliza kuinstall ifungue hiyo Mtk engineering,

3,itakuja menu yenye Tabs. Angalia neno TELEPHONY

4,Shusha kuelekea chini ya Telephony mpaka upate neno SIMME LOCK au SIM LOCK alaf chagua hapo

5,ukimaliza step 4 utaona neno NETWORK PERSONALIZATION, fungua hapo alaf utaona UNLOCK/NETWORK UNLOCK ,

6,Ukiselect network unlock simu itaomba unlock codes , tumia 12345678

7,ukishamaliza hapo bonyeza button ya back mara moja, Utaona PERMANENTLY UNLOCK, chagua hiyo.

8, restart simu yako na kila kitu kitakua poa.

Enjooooooy

Huduma ya unlock codes ya simu za voda ipo, najitahid kukamilisha mfumo wa remote unlock ili niwafikie weny simu zenye security ngumu

Wenu mtiifu

PHILLZ UNLOCK SERVICE
kaka hii kazi bado.unaendelea nayo.achana nayo.sina ata week nilikua nasota kwa lupango chaliii angu
 
Flashing , haiwez kula imei kwa mtu anaejua vizur (pia huwa tufadanya NVRAM/NV ITEMS BACKUP) HII BACKUP HUWA INAHIFADHI TAARIFA MUHIMU IKIWEMA MAC ADRESS, BLUETOOTH ADRESS , IMEI NA SERIAL NUMBER YA SIMU.

so katika flash ukiformart EMMC imei itafutika ila baada ya hapo una restore back up yako ya nvmram na imei inarudi.

Onyo: usitumie hio nvram kwenye simu nyinginw tofauti na yako kwa maana jela itakuhusu

At your own risk.
poa kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom