Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,454
- 25,372
Aisee huyu bwana mdogo harmorapa naona anazidi kusaka umaarufu kwa nguvu kupitia mgongo wa WCB
Hilo limejidhihirisha kwa kwa kupost pesa zake mtandaoni na wengi wametafsiri kuwa ni dongo kwa mahasimu wake kwa sasa ambao ni Mose Iyobo baada ya kumuita nyani na Harmonize ambaye kwa upande wake huwa ana gadhibika sana kufananishwa na huyu bwana mdogo
Harmorapa mara kwa mara ameonekana akipost magari mbalimbali ya kifahari bila kusahau mkwanja ili watu wajue kuwa yeye sio wa mchezo mchezo
Ila mimi navyoona WCB kwa ujumla wampuuze tu huyu mtu kwa kweli maana anaonekana hayupo sawa kwa kweli dishi lake limeyumba So WCB kama WCB kumuongelea ni kujishushia heshima