Recent content by Onesmo Nchimbi

  1. Onesmo Nchimbi

    JamiiForums Tanzania Songea, Ruvuma: Watu 71 wanusurika kifo kwa kunywa togwa kwenye sherehe

    wazawa tunaita (mpelai abele mwene)
  2. Onesmo Nchimbi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UN: Wakenya wasio na uhakika wa kula kuongezeka zaidi ya mara mbili

    Kenya amekamatwa pabaya poleni wakenya karibuni songea
  3. Onesmo Nchimbi

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya sura/muonekano wa mtu na matendo yake?

    wanasema Mpole muogope kwa maana sura zao huficha uhalisia wao
  4. Onesmo Nchimbi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuzindua maonesho ya Sabasaba leo

    nguvu tunazo Uwezo tunao Kikubwa tuongee bidii ktk utafutaji kila kitu ukitegemea mala serikali mala ccm utajikuta masikini tu
  5. Onesmo Nchimbi

    JamiiForums Tanzania Dirisha la udahili NACTE limefunguliwa leo 15/6/2020

    afadhali watu tuludi skonga
  6. Onesmo Nchimbi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi watatu Kenya wakamatwa kwa kumburuza mwanamke kwa pikipiki

    😂😂😂
  7. Onesmo Nchimbi

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Hiyo bei ni ya kusafirishia kila item au jumla la mzigo wowote?
  8. Onesmo Nchimbi

    JamiiForums Tanzania Kama wewe umeupenda wimbo wa ' hauwezi kKushindana ', Mimi nazipenda hizi zifuatazo...

    Napenda wimbo wa komba "ccm mbele kwa mbele"
  9. Onesmo Nchimbi

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote juu ya afya ya ngozi

    Mba nao suluhisho lake ni nini maana natumia dawa ya vidonge na kupaka unapotea lkn naweza kukaa miez kadhaa inaanza tena so nifanyaje?
  10. Onesmo Nchimbi

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza bei ya mahindi iko chini kuliko kipindi cha mavuno, ni kilio kwa wakulima na wafanyabiashara

    Loh yani nimelima mahindi mwaka huu nikisikia habari hizi napatwa wasiwasi mkubwa sana kua naweza kupata hasara sana but no way out
  11. Onesmo Nchimbi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ninyi wanaume, mmerogwa?

    Mh kweli wanawake viumbe wa ajabu wanaume tunafanya kwaajili yenu mana mna tangaza sana mala ooh kibamia sasa mtatukoma
  12. Onesmo Nchimbi

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Mh wengi Sana
  13. Onesmo Nchimbi

    JamiiForums Tanzania Magufuli, wewe ni Rais wa Tanzania sio Kanda ya Ziwa tu

    Sasa sisi kule songea sijui baba yetu nani
  14. Onesmo Nchimbi

    JamiiForums Tanzania JKT yarejesha mafunzo kwenye kambi 5 ili kupanua wigo wa idadi ya wanaojiunga

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu mambo yako nn hayo mana unatambua hadi makosa wafanyayo vijana
Back
Top Bottom