Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,814
- 2,738
- Thread starter
- #21
Chunusi zote mwilini ni sawa.Muhimu tujiulize . .Chunusi za mgongoni husababishwa na nini?na tiba yake nini?
Kwanini unapata chunusi?
Mara nyingi chunusi huhusianishwa na mabadiliko ya kiwango cha homoni kipindi cha balehe. Hata hivyo, zinaweza kuanza katika umri wowote. Baadhi ya homoni zilizo jirani na vinyweleo vya ngozi hutengeneza kiwango kikubwa cha mafuta. Mabadiliko haya hufanya bakteria wanaoishi kwenye ngozi bila kusababisha madhara kukasirika na kusababisha vipele vyenye usaha.
TIBA
mahitaji
Unga wa dengu
Maziwa
Ndimu
njia
chukua kisosi tia kijiko kimoja cha dengutia maziwa vijikovitatu tia ndimukipande kimoja koroga vizuri iwe km uji mzito jipake eneo lenye chunusi vizuri usisugue uso na facial ya dengu ulopaka iache ikauke usoni mpaka dk.30 ukimaliza izo dk nawa uso wako vizr na maji safi na sabuni yenye asili ya medicated fany ahii njia mara mija kwa siku week mbili hadi mwezi mpk uone chunusi zimeisha usoni mwako .Kama unaona tabu,tuwasiliane kwa udongo tib wa natural clay