Kuna uhusiano gani kati ya sura/muonekano wa mtu na matendo yake?

Lili li mwita li jizi jizi tu sijui limeingiaje kwenye siasa. Sura ngumu kama uji wa mtama.
 
Kwa mwanamke ukimuona,Kila ukimwangalia hakuangalii anachezesha macho huyo no malaya,na jeuri,maana malaya hawi mstaarabu.
 
Kuna dada alikua na nyodo Sana ya kuchagua mume,alisema anataka mpole na mcha Mungu,...Sasa kampata mwenye sura ya upole kwelikweli kinachomkuta ndani ya ndoa Sasa,.....
 
Hapa ndio nakataa...ingawa labda yaweza kufanya kazi kwa wale wa jinsia ya KE.

Mimi kuna Msichana/Mwanamke nikimuangalia naweza ku imagine kabisa kwamba huyu si wa kutulia...hata kwenye porn kuna sura nyingine mpaka unatamani kuhakikisha kama kweli "anafanya" ili hali kuna sura nyingine unaona kabisa hapa ni kipele kimekutana na mwenye kucha.

Huwa roho inaniuma nikimuona Demu mwenye sura "innocent" anashiriki porn...tena unakuta yupo three sum ya ma men wawili...naumwa roho na wivu wakati huo huo.
Lol kwahiyo observation yako imefika hadi xvideos platform :) :)
 
Nilichogundua ni kuwa kuna ku take advantage ya muonekano kwa Wahusika.

Kwa mfano Binti anayejijua ana uzuri mara nyingi kuna aina fulani ya maisha anayojiweka tofauti na yule anayejijua hata mvuto wa kumshtua yeyote.

Vivyo hivyo kwa Mwanaume mwenye umbo kubwa automatically atajiweka kama Mtu anayejiamini ukilinganisha na yule mwenye mwili mdogo.
 
Hapa ndio nakataa...ingawa labda yaweza kufanya kazi kwa wale wa jinsia ya KE.

Mimi kuna Msichana/Mwanamke nikimuangalia naweza ku imagine kabisa kwamba huyu si wa kutulia...hata kwenye porn kuna sura nyingine mpaka unatamani kuhakikisha kama kweli "anafanya" ili hali kuna sura nyingine unaona kabisa hapa ni kipele kimekutana na mwenye kucha.

Huwa roho inaniuma nikimuona Demu mwenye sura "innocent" anashiriki porn...tena unakuta yupo three sum ya ma men wawili...naumwa roho na wivu wakati huo huo.
Mfano Mia Khalifa
 
Nakumbuka room mate wa chuo alikuwa anaogopa sana watu wa Mus... anasema toka akiwa mdogo aliaminishwa sura mbaya na ukatili huenda pamoja reference alikuwa ana pewa anaambia angalia watu wa Mus.... . Sura zao na ukatili especially dhidi ya wanawake. Alikuwa akiwaona tu anakimbia.
Baadae tuka bidi tumueleweshe ni uongo na yeye ashakuwa mtu mzima ataona ukatili unafanyikapopote pale duniani hata kwa wenye sura nzuri
 
Natumai wengi mtakubaliana nami kuwa Duniani tupo Watu wa aina tofauti..hii imepelekea wengi wetu kuhusisha baadhi ya matendo na aina fulani ya Watu. Kwa mfano kuna aina fulani ya Watu ukimkuta anafanya shughuli fulani lazima moyo wako utashtuka kwanza na utatamani kujiridhisha ni kwa nini Dada/ Kaka au Mama/ Baba huyo yupo kwenye shughuli ile.

Iwe ni Mwanamke au Mwanaume zipo sura au muonekano ambao utaona Mtu mwingine anatumia nguvu kubwa kukuaminisha kuwa Mtu huyo ni tofauti kabisa na anavyoonekana. Mathalani utamsikia Mtu akikuaminisha jinsi fulani alivyo na roho nzuri au upendo, na kinyume chake Wapo ambao inalazimika Mtu kumuelezea namna alivyo na ukosefu wa dabu na heshima ili tu usihadaike na muonekano wake.

Kuna Mtu ukiambiwa ni Mwizi au Jambazi anayevunja nyumba za Watu usiku basi utabaki na mshangao, na Wapo ambao ukiambiwa hivyo wala hutoshtukakwa jinsi Mtu huyo anavyoonekana.
Muonekano wa mtu hutafasili tabia au matendo ya mtu kwa zaidi ya 75%

Iangalie kwa makini sana sura ya Tundu Lissu na hasa wakati akiongea, utabaini unafiki wa wazi alionao
 
Ukute mtu mrefu mnene mweusi mwenye sura ngumu macho mekundu.
Jambo la kwanza kumuwazia ni jambazi,katili muuwaji ana roho mbaya
 
Umenipeleka hapo jirani kwa bwana paul, maana huyo jamaa ni over devil ukimkela popote ulipo atakufuata na kukuondoa dunia.
Kuna watu hawana miili, wembamba ila makatili,unakuta mtu bonge ila mwoga.
 
Muonekano wa mtu hutafasili tabia au matendo ya mtu kwa zaidi ya 75%

Iangalie kwa makini sana sura ya Tundu Lissu na hasa wakati akiongea, utabaini unafiki wa wazi alionao
Duuh, haya bhana.
 
Back
Top Bottom