Recent content by ONANI OH NENE

  1. ONANI OH NENE

    Harmonise amefunga ndoa na Sarah

    Watu wanafiki Sana unaombea ndoa yako mtu ivungike au kualikwa mtu jamani Huwezi jua zaidi nn wanafanya wao. "Osatile mayokanda, shengi gete"
  2. ONANI OH NENE

    Faida wanazopata AyoTV,Dizzim TV online,DAUDA TV na youtube channels za wasanii kama Diamond platnumz na wengine.

    Wote mko sawa lakini Millard ayo atafungua radio yake inawezekana mda wake bado, pia wengine anapata pesa mahali nyingi tu bado Anakaa pale pale Labda kaweka mda wake pale au mkataba wake bado Kama tu harmonize asante
  3. ONANI OH NENE

    Nigeria wawajibu wazulu mauaji

    Je? Hakuna watanzania kweli hapo katika watu kupigwa na Kama wapo je? Sisi tuwalipue Au sisi amani amani tu?
  4. ONANI OH NENE

    Baraka Da Prince kuwa matatani

    Fatilia interview yake alivyotoka Kenya utajua tu kuna kitu.
  5. ONANI OH NENE

    Kwa mashairi haya kwenye wimbo wa Kainama, Diamond ana maana gani?

    Kwenye wimbo Wa Omary unaitwa wanjera na mle wanjera alikuwa wema sepetu angalieni Nani kasemwa [emoji23]
  6. ONANI OH NENE

    Unamfahamu mnyama Squirrel

    Acha lugha hiyo wala Sio vile
  7. ONANI OH NENE

    Masoud Kipanya: Kiongozi atakayetoa ahadi za uongo akatwe miguu

    Wahuni Sio watu wazuri, ila kitu kimoja Hakuna aliyekamilika hata Kama ni Nan? Ila hata yesu alipigwa balaa acha kabsa Gaddafi mtu makini Sana wa mwananchi wake lakini watu nzi walikuwemo tu asante
  8. ONANI OH NENE

    Swali

    Mtu aliye na umri wa mwaka 1atakuwa na 81 viumbe xx sizani kuwepo
  9. ONANI OH NENE

    Baraka Da Prince kuwa matatani

    Kama ni mdau wao Pole
  10. ONANI OH NENE

    Baraka Da Prince kuwa matatani

    Clouds huwajui ww Sana Ngoja nitaweka full movie yao utashangaa mpaka watumishi wake kuwa wanajihusisha maswala ya ushoga
Back
Top Bottom