Kwa mashairi haya kwenye wimbo wa Kainama, Diamond ana maana gani?

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,413
15,911
Kutoka kwenye wimbo unaoitwa KAINAMA Diamond platnumz anaimba:-
"Salam ziende kwa WANJERA,
Doni maisha kitasa kwenye Bunyeru"

wakuu nimewaza sana wanjera ni nani na "Doni maisha kitasa kwenye bunyeru" ndio nini? anaejua ufafanuzi tafadhari.

Wala sio wanjera Ni "Wanjara, alimaanisha Rashida Wanjara.

Sio Bunyera Ni Bunyero, Rashida Wanjara Ana show zake za kibao kata anaziita Bunyero Bunyero..ndio maana mbeleni anasema anataka msambwanda kwa buku jero! Utajiliza Rashida Wanjara Ni nani, Kam Google!
 
nimeelewa hapo kwenye kitasa kwenye bunyera..

huko kwingine sihitaji uchochezi
 
Kutoka kwenye wimbo unaoitwa KAINAMA Diamond platnumz anaimba:-
"Salam ziende kwa WANJERA,
Doni maisha kitasa kwenye Bunyeru"

wakuu nimewaza sana wanjera ni nani na "Doni maisha kitasa kwenye bunyeru" ndio nini? anaejua ufafanuzi tafadhari.
hapo anamaanisha Ommy dimpozi anatoa kisamvu cha kopo
 
Wala sio wanjera Ni "Wanjara, alimaanisha Rashida Wanjara.

Sio Bunyera Ni Bunyero, Rashida Wanjara Ana show zake za kibao kata anaziita Bunyero Bunyero..ndio maana mbeleni anasema anataka msambwanda kwa buku jero! Utajiliza Rashida Wanjara Ni nani, Kam Google!
Mkuu ungetulia kwanza uone mazuzu walivyo wengi
 
Duuhh, kweli mjini kuna mambo mengi

Asante mkuu kwa ufafanuzi. ..
Wala sio wanjera Ni "Wanjara, alimaanisha Rashida Wanjara.

Sio Bunyera Ni Bunyero, Rashida Wanjara Ana show zake za kibao kata anaziita Bunyero Bunyero..ndio maana mbeleni anasema anataka msambwanda kwa buku jero! Utajiliza Rashida Wanjara Ni nani, Kam Google!
 
Kama nitakuwa nimemwelewa vizuri mleta Mada, kwa Kweli kitendo anachofanya mwenye nyumba cha kuwapandishia Wapangaji Kodi kila Mkataba unapoisha sio Kizuri. Halafu hafanyi marekebisho yoyote, Choo Kibovu, rangi vyumbani imechoka na kuna baadhi ya vyumba vinavuja. Yeye akipata pesa ni pombe tu.
umeua mkuu
 
Back
Top Bottom