Uislaam ni mzuri sana ila wengi wetu hatujui

Uislaam ni mzuri sana ila wengi wetu hatujui

Mkuu hii vita haikuhusisha imani dhidi ya imani, The conflict was generally fought between European Crusaders and the Seljuk Turks and their vassals. The Muslim Syrian emirates occasionally allied themselves with the Christians against rival states.

Kwenye Ukristo tunatakiwa kumpenda kila mtu, ukimuona Mkristo anamchukia mwenzake huyo ni Mkristo jina na hafuati mafundisho ya Kristo amri iliyo kuu kwenye Ukristo ni UPENDO muulize yeyote.

Kwanini muwauwe wanaowakosoa na hata kueafanyia mambo ya ajabu kama kumtusi Allah wenu n.k
Ina maana nyinyi mmepewa haki ya kuuwa wanadamu wenzenu?

Hakipo na hakiwezi kuwepo kwa sababu Uislamu umekuja baada ya Ukristo yani ni sawa na uulize kwanini Nyerere hakuwahi kumpa uwaziri Magufuli

Kwenye mauwaji yanayoendelea ya magaidi sehemu mbalimbali duniani mfano mzuri ni Garisa Kenya walitoa Quran aliyeshindwa kusoma au aliyekuwa Mkristo walipigwa risasi na wengi walikufa hii ina maana mnalazimisha watu wawe Waislamu.
.
Jambo jingine mnatuita Makafiri hii yote ni kutufanya tujione sisi tuliko siko kwamba ninyi ndio mko mahala sahihi vilevile mna mpango wa kuitawala Dunia yani hii ni adhma kuu ya Uislamu utawale Dunia huoni kuwa Uislamu unalazimisha watu waamini hiyo imani kwa lazima?
Haikusema waliowakosea bali wanaowapiga na kuwaua katika njia ya Allah.Kukosea kosa linaweza kuwa dogo tu tofauti na kuwapiga na kuwaua.
 
Hivi unafikiri tukilipizana kisasi ni lini tutaishi kwa amani? Maana akianza kufanya dhambi mmoja wote mtafuata njia moja amekutoa jicho nawe utamtoa jicho naye atahitaji kulipa kisasi maanake atakutoa la pili nawe utalipa kisasi hilo litaendelea vizazi na vizazi mpaka pale mmoja atakaposamehe na ndo maana biblia inatuhitaji kusamehe
Hiyo biblia inayokufunza kusamehe labda ni kwa wenyewe kwa wenyewe, ila leo hii akukosee muislam sidhani kama utakubali dhana ya samehe 7 x 70
 
Yesu hakuoa alikuwa anapiga punyeto eeeh?
MUNGU wa miungu hakuna kama yeye ndio maana ata mapepo wanaogopa jina hilo
Unafikiri yeye alikuwa hana muda wa kuoa aliwaza jinsi gani awaokoe wenye dhambi kama ww ivyo yaan
 
MUNGU wa miungu hakuna kama yeye ndio maana ata mapepo wanaogopa jina hilo
Unafikiri yeye alikuwa hana muda wa kuoa aliwaza jinsi gani awaokoe wenye dhambi kama ww ivyo yaan
Alipiga punyeto mkuu.Huwezi kuokoa mtu ambaye hajazaliwa!Na ingekuwa hivyo basi haya mengi yanayotokea yasingetokea,
 
Yesu akusaidie Ndugu unahitaji masaada wa MUNGU wazi
Sihitaji msaada lakini kwenye ndoa kuna ngono!Je ndoa ya kweli ni ipi na ya uongo ni ipi?Afu uniambie kati ya hizo ndoa zinztofautishwa na nini.Kwa nini mtu hawezi kumuoa dada yake au mama yake?Nijibu hapo.
 
Kwaio huo uislamu uzuri wake upo kwenye maswala ya kugawana mali alizomkuta nazo mtu tu? Uislamu ni dini ya kibaguzo sana haswa linapokuja kwenye kugawanywa mali mfano kaka na dada hawapati sawa endapo baba yao akiwa amefariki ndo maana siku hizi waislamu wengi mahakamani wanataka sheria ya serikali itumike hawataki sheria kandamizi ya kiislamu itumike kwenye mgawanyiko wa mali..kila kitu kina pande mbili kina uzuri na ubaya
 
Sihitaji msaada lakini kwenye ndoa kuna ngono!Je ndoa ya kweli ni ipi na ya uongo ni ipi?Afu uniambie kati ya hizo ndoa zinztofautishwa na nini.Kwa nini mtu hawezi kumuoa dada yake au mama yake?Nijibu hapo.
Ndoa ya kweli ni ile ambayo inafanikisha kusudi aliloweka MUNGU juu ya mwanaume linatimia uku akiwa na msaidizi ambaye ni mke wake

Ndio maana mwanamke huwa kama msaidizi kutimiza kusudi ambalo lipo kwa mumewe na SI kulala tu na pia usisahau ata Tendo la ndoa ni sehemu ya kusudi na sio NGONO[emoji777][emoji777][emoji777]

Na ndoa isiyo ya kweli hawafanikisha kusudi la MUNGU
 
Dont be afool,that physical contact ni ngono.Ngono ni neno la kiswahili,kujamiina,kuingiliana.kusex,kumake love lakini ni ngono.
 
Hiyo biblia inayokufunza kusamehe labda ni kwa wenyewe kwa wenyewe, ila leo hii akukosee muislam sidhani kama utakubali dhana ya samehe 7 x 70
Biblia naweza kusema ni tofauti sana na kitabu chenu cha kiislamu biblia imeandika samehe 7 mara 70 lakin hajasema msamehe ndg. Au nani ila ni yeyote aliyekukosea so hiyo unayosema ww ni ya kwako
 
Kwa inavyoonekana sifa zote alizozitoa ni kuhusu ndoa tu na kutokugawana mali ndo wapo vizuri. Vipi kuhusu idara zingine dini inazungumziaje, au hizo idara bado mambo hayajakaa sawa.
 
UISLAMU NI DINI ILIYOKAMILIKA KATIKA KILA NYANJA, LAKINI KUTOKANA NA WAISLAM WENGI WAO WA LEO KUFANYA MAKOSA KWA KISINGIZIO CHA DINI, NDO KINACHOPOTEZA TASWIRA YA DINI KWA WASIO WAISLAMU... SISI WAISLAMU TUNAYOYAFANYA YANAFANYA HAO WENGI WAO KUAMIN KATIKA MATENDO YETU TUNAYOKOSEA.

huu uzi hili jukwaa sio lake, na pia mwenye mada uislamu umekataaa mabishano ya kidini ya aina yoyote, isipokua unaweza kumlingania/kumtangazia dini tu, rejea maisha ya mtume(historia na Hadith).
 
Dini yenu katika ndoa ni nzuri, lakin angalieni upya suala la ndoa, naona waislamu wengi wanaoa kwa tamaa za ngono na si vinginevyo Kwan mnasababisha ongezeko kubwa la single mothers kila kukicha, kila siku mnaoa na kutaliki.
ni watu wanaotumia dini kuhalalisha matendo yao wanayokosea, ila sio dini. ni kama CCM inavotuadhibu kutumia sheria za nchi kwa kuzikiuka ila zikibaki kuwakinga.
(ni mfano tu huo sio msimamo wa kisiasa)
 
Siyo uzushi ni ukweli mtupu, kutokana na dini ya kiislam kuruhusu mitala na kutaliki kirahisi, baadhi ya waislam wasio waadilifu wamekuwa wakijiolea ovyo ovyo na kuwaacha wake zao ovyo kwa sababu hata za kijingajinga tu na huyo mwanamke kuanza keteseka, liangalieni upya suala hilo mwanamke ni kiumbe cha Mungu pia, siyo gari la kutumia na kuacha vile utakavyoamua wewe tu.
kuna sheria zake, na mwanamke haachwi kizembe kama unavodhani, au wengi wanavofanya kwa kukosa elimu ya dini ila kwakufata matakwa yao binafsi kutumia kigezo cha dini..
unachokisema nmekiona pia.
 
Dini yenu katika ndoa ni nzuri, lakin angalieni upya suala la ndoa, naona waislamu wengi wanaoa kwa tamaa za ngono na si vinginevyo Kwan mnasababisha ongezeko kubwa la single mothers kila kukicha, kila siku mnaoa na kutaliki.
Mkishaoana mkapata watoto mkaachana, huo u "single mother" hapo unatoka wapi? Na watoto wana baba yao.

Hao mnaowaita "single mother" ni wale.ambao walizaa nje ya ndoa na hawamjui baba wa mtoto ni nani. Kila mwanamme aingiae kwao mtoto anaambiwa "mwamkie babako".

Tatizo liko kwenu. Hamruhusiwi kuoa zaidi ya mmoja, matokeo? Michepuko na ngono z nje ya ndoa.

Hamruhusiwi kuachana, matokeo? Kutengana na kila mmoja kuzini atakavyo.

Wanaume wengi watumishi wa makanisa makubwa kabisa wakiwemo mapadri, maaskofu na makasisi hawaruhusiwi kuoa! Matokeo? Kufirana wenyewe kwa wenyewe na kuharibu watoto mnaowapeleka Sunday schools.

Tatizo mnalo ninyi msio Waislam hamlioni?

Uislam ndiyo muarubaini wa matatizo yenu. Macho mnayo lakini hayaoni,masikio mnayyo lakini hayasikii.

Endeleeni kujazwa ujinga.
 
Mkishaoana mkapata watoto mkaachana, huo u "single mother" hapo unatoka wapi? Na watoto wana baba yao.

Hao mnaowaita "single mother" ni wale.ambao walizaa nje ya ndoa na hawamhui baa wa mtoto ni nani. Kila mwanamme aingiae kwao mtoto anaambiwa "mwamkie babako".

Tatizo liko kwenu. Hamruhusiwi kuoa zaidi ya mmoja, matokeo? Michepuko na ngono nje ya ndoa. Hamruhusiwi kuachana, matokeo? Kutengana na kila mmoja kuzini atakavyo.

Wanaume wengi watumishi wa makanisa makubwa kabbisa wakiwemo mapadri, maaskofu na makasisi hawaruhusiwi kuoa! Matokeo? Kufirana wenyewe kwa wenyewe na kuharibu watoto mnaowapeleka Sunday schools.

Tatizo mnalo ninyi msio Waislam hamlioni?

Uislam ndiyo muarubaini wa matatizo yenu. Macho mnayo lakini hayaoni,masikio mnayyo lakini hayasikii.

Endeleeni kujazwa ujinga.
polepole mama, nlijua utakuja tu hapa.
 
Sihitaji msaada lakini kwenye ndoa kuna ngono!Je ndoa ya kweli ni ipi na ya uongo ni ipi?Afu uniambie kati ya hizo ndoa zinztofautishwa na nini.Kwa nini mtu hawezi kumuoa dada yake au mama yake?Nijibu hapo.
mkuu ulitaka kuoa sister ako?? hebu tuanzie hapo, uckute una sister mkali ila umekosa namna ya kujihalalishia.
 
Back
Top Bottom