Baraka Da Prince kuwa matatani

Habari wana jamii JF, Taarifa zilizonifikia toka juzi kuwa Baraka yuko hoi hajitambui(ICU) inchini Kenya baada ya kumeza kete za madawa. Safari yake Ilikuwa kutoka Kenya kwenda South Africa, alijisahau akaanza kunywa bia ndipo Hali ikabadilika Sana, Kumbe hata kuachana na mpenzi wake kisa madawa na kutoka Rock star sababu alijiingiza Kwenye madawa walimkataza lakini kijana wapi haelewi Kabisa mpaka alitaka kuuza nyumba yake iliyoko jijini mwanza maeneo ya nyamongolo. Unajua wanamziki wanahalibiwa na jamaa hawa wa clouds na jamani pesa tutafute kihalali asante. #

anatumia madawa mara wanaibiwa imekuwaje tena
nyoosha maneno
 
Ufafanuzi wa A.M. na P.M. ni kama ifuatavyo: A.M. ni ufupisho wa maneno ya Kilatini Ante Meridian,kabla ya kufika mchana (Before noon) neno hili hutumika kuanzia 0001hrs hadi 1159hrs na P.M. ni ufupisho wa maneno Post Meridian ( After noon) na huanza kutumika kuanzia 1200hrs hadi 2359hrs.
 
Back
Top Bottom