Masoud Kipanya: Kiongozi atakayetoa ahadi za uongo akatwe miguu

Kipanya ni moja ya sauti pekee zilizobaki

Hivi hawawezi kumteka huyu jamaa au kumnunua

Ila yule jamaa itakua walmwambia itakua aibu sana , kuogopa vikatuni

Ila najuaa huu mpango alkua nao , na anavyosomaga gazeti la mwananchi ile page ya katuni huwa anaiskip

Maana anakula za uso kabisa ani
 
Ni nani aliye mwaminifu kutimiza ahadi zake kama Mungu aliye hai? ajitokeze hapa aliye mwaminifu kwa viwango hivyo, uaminifu uanzie kwa mtu binafsi ndio mwisho wa siku taifa na viongozi wote watakua waaminifu kwa ahadi zao sio kusema tuu viongozi wasio waaminifu kwa ahadi zao wakatwe miguu wakati na nyie wananchi mpo vilevile sio waaminifu katika level zenu za chini
 
Back
Top Bottom