Recent content by ombeni

  1. O

    JamiiForums Tanzania UMEME WAKATIKA UWANJA WA TAIFA!!!Ngeleja jiuzulu

    Taifa stars walipocheza na Moroco wimbo wa Taifa haukuimbwa kwa wakati muafaka,Rais wa TFF bwana Tenga kwa aibu akamtoa kafara msemaji wa wakatio huo FLORIAN KAIJAGE,waziri anayehusika kama kawaida ktk nchi ya wajinga akasema hajui chochote,leo sijui TENGA atasemaje maana KAIJAGE kama angekuwa...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Wassira: Nililala kwa kuwa nilikunywa Dawa

    nimecheka sana
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hili lina maana gani

    samahani nakwenda lunch nitarudi.
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani

    Hivi kwa nini wanaume hawapendi kuwasindikiza wake zao CLINIC,HOSPITAL?naomba kuwasilisha asante.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

    nimecheka sana mpaka nimepaliwa na chakula!
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je ni dharau, kudata au tamaa ya mapenzi?

    ndio maana mimi sitaki kuoa!
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nazidi kukata tamaha, nifanyeje?!

    nimecheka sana maneno yako hapo juu.
  8. O

    JamiiForums Tanzania FM transmitter na FM radio

    majibu yenu mazuri lakini sasa kuna umuhimu gani wa hili jukwaa?
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za watu huendana na majina yao...

    wana akili sana ila malaya sana kama akina lilian amini hivyo.
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why this?

    Ukitaka kujua mke wako atazaa mtoto wa jinsia gani fanya hivi,mchukue mtoto wa miaka miwili wa kiume mwambie amlalie mke wako juu ya tumbo lake,ukiona ako katoto kana kunja miguu yake ujue atamzaa boyfriend na kama ako katoto hakata kunja miguu ujue atazaa wale wanao vaa naiti dress mchana wk...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Zitto, Mnyika wafichua upotoshaji bajeti ya Mkulo; Spika Makinda akiri, amtaka Mkulo arekebishe

    Acha Ujinga,Upuuzi na Unafiki ni Mwalimu yupi anayemudu maisha? Utakuwa ni Nape wewe acha hizo magamba wewe!
  12. O

    JamiiForums Tanzania FM transmitter na FM radio

    Wakuu naomba kuelewa maana ya maneno hayo hapo juu.Asanteni naomba kuwasilisha.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Kijiji cha kipololo

    Habari za jumatatu Great Thinkers wakati tukisubiri kumtoa mpiganaji wetu Mbowe nimeona tumpe hongera huyu kijana wa kikatoliki,bingwa wa HISABATI kwa kusimikwa kuwa Askofu wa Jimbo la Mbinga nianze mimi kwa kusema hongera sana JOHNI NDIMBO.Akanono!!
  14. O

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Jamani habari za jumapili!nimeanza kufanya mazoezi kwa mwili wangu na sasa ni kama wiki moja lakini MISULI ya mapaja yote inaumasana,naomba Doctors mnipe msaada wa kutuliza maumivu,Nb mimi ni mvulana wa miaka 30.Naomba kuwasilisha asante.
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Kuagana"

    Thinkers nimesoma haya mashairi kila nikiwaza kuoa napata shida sana daaa!
Back
Top Bottom