Wassira: Nililala kwa kuwa nilikunywa Dawa

kwani hamuoni hata majibu yake anakuwa kama ametoka usingizini.Pia analalama nini wakati alikuwa amelala?swala la dawa analijuwa yeye na Dr wake watanzania tunaitaji wachapakazi nasi walalaji kwenye bunge hata kama nidawa hii nijuu yake kikwete mwondoe huyu kachoka
 
Wasira hana mawazo mapya kuna siku alikuwa TBC akaulizwa mafuta yanapanda ambayo yanasababisha gharama za maisha kupanda chadema wanataka serikali ipunguze bei ya mafuta per lita by 40% we unaonaje? akajibu kikwete nchi yake haichimbi mafuta!! waarabu ndo wenye mafuta na wao ndo wanapandisha bei ya mafuta sa unataka kikwete afanye nini? hatuwezi waambia waarabu washushe bei!! yani nilitamani niingie kwenye TV nimnase kibao!!!amekuwa na akili kama za primary school..ivi ata kama ni uzee na kwamba sio smart basi kwanini asiangalie news za CNN au SKY aone viongozi wenzake wana solve vipi hii issue? afu aige ti majibu ata ya wakenya??? wenzie a week before yeye hajatoa ayo matapishi TBC wakenya walikuwa busy wanaangalia kodi ambazo zinachajiwa kwenye mafuta ili wazitoe au wapunguze...kweli Wasira anazidi ku prove he is an old and brainless MP..
 
Majibu ya hovyohovyo tu

Watanzania lazima tutambue kuwa ukimpiga picha mtu alilala unafanya uchochezi hakuna majadiliano. Tusilete ubishi usio na maana. Pia lazima tujue kuwa tukiumwa mafua tukapewa dawa ni ruhusa kulala, kama konda lala kwenye daladala, kama mbunge lala bungeni na kama nesi lala hospitalini, kama dereva lala katika gari lako ukiwa unaendesha barabarani. Mmepewa dawa laleni, msilete ubishi na hakuna mchochezi yoyote kuwapiga picha
 
Mimi kwa mtazamo wangu angekaa kimya tu!

Kweli kabisa mkuu. Hivyo ndivyo busara inavyotaka. Kwa bahati mbaya mzee wetu yule hana busara. Anang'ang'ania ubabe tu! Matokeo yake inazidi kula kwetu. Napata sana Uchungu kwamba kakodi kangu ndiko kanakomwezesha kutoa mvuke kiasi kile! Kusingekuwa na mabo ya posho, mzee wa watu angejipumzisha chumbani na wala isingekuwa soo!
 
si walisema alikuwa akitafakari jambo pale bungeni? si angekaukatuu huyu jibaba kama mwenzake mrema? kwani mrema si alipigatu kachafya kidogo?akashushia hapo na kijambo kwambaali, ndio imetoka!
 
Watanzania lazima tutambue kuwa ukimpiga picha mtu alilala unafanya uchochezi hakuna majadiliano. Tusilete ubishi usio na maana. Pia lazima tujue kuwa tukiumwa mafua tukapewa dawa ni ruhusa kulala, kama konda lala kwenye daladala, kama mbunge lala bungeni na kama nesi lala hospitalini, kama dereva lala katika gari lako ukiwa unaendesha barabarani. Mmepewa dawa laleni, msilete ubishi na hakuna mchochezi yoyote kuwapiga picha
ukilala unaangusha sehemu yako ya kazi, unapokuwa kazini piga kazi kama kawa!
 
si walisema alikuwa akitafakari jambo pale bungeni? si angekaukatuu huyu jibaba kama mwenzake mrema? kwani mrema si alipigatu kachafya kidogo?akashushia hapo na kijambo kwambaali, ndio imetoka!
alijamba? alijamba nini? sayansi imeniacha!
 
Back
Top Bottom