Kijiji cha kipololo

ombeni

Member
Mar 24, 2011
47
2
Habari za jumatatu Great Thinkers wakati tukisubiri kumtoa mpiganaji wetu Mbowe nimeona tumpe hongera huyu kijana wa kikatoliki,bingwa wa HISABATI kwa kusimikwa kuwa Askofu wa Jimbo la Mbinga nianze mimi kwa kusema hongera sana JOHNI NDIMBO.Akanono!!
 
Hongera yake sana John Ndimbo kwa kusimikwa kuwa askofu wa jimbo la mbinga. Ila naomba kujua aliyekuwa askofu wa jimbo wa zamangi wa jimbo hlo Emanuel Mapunda kaenda wapi? Either kahamishwa, kafa au kabadilishiwa majukumu?
 
Mnhhhh, isije kuwa kananihii, si unajuwa mambo ya uaskofu tena, huwa makubwa.
 
Back
Top Bottom