FM transmitter na FM radio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FM transmitter na FM radio

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ombeni, Jun 10, 2011.

 1. o

  ombeni Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba kuelewa maana ya maneno hayo hapo juu.Asanteni naomba kuwasilisha.
   
 2. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  pole mkuu!!

  HATA KU GOOGLE HUWEZI?!!
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwenda zako huko, tazama post #2
   
 4. o

  ombeni Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  majibu yenu mazuri lakini sasa kuna umuhimu gani wa hili jukwaa?
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  umuhimu wake ndio kama huo unaonyshwa njia . au unataka utafuniwe ndo usikie raha
   
 6. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hapa ni mahali pa great thinkers ndio maana jamaa wanakushambulia kwa post ya kitoto
   
 7. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  katika kutoa majibu jaribu kuangalia huoy mtu kajiunga lini! kuna "newbie" ambao wanahitaji kuongozwa hata hayo matumizi ya google.
   
 8. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Not only that,despite of the join date any question asked goes answered,it may be stupid to you but not to the person asking. Mjirekebishe
   
 9. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  sharobalo majibu kama haya wana techno hatuna,yapo huko kwingine nadhani ushahidi upo chini hapo ulikutana nayo kwenye mada yako huko MMU. Huku sisi ni wakarimu na kila swali lina uzito wake. Take it easy tuko Pamoja!https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/138990-swali-kuhusu-mtoto.html
   
 10. G

  Ginner JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Me naaona kumpinga mtoa mada akati anaataka msahada ni ufinyu wa wamawazo...hii inaonesha mnajiita great thinkers wakati hamna kitu...me sijaona haja kama mtu anajua jibu asilitoe kisa google ipo ....hii niishara kuwa hamjui tofauti ndo maana mnatoaa maajibu ya mkato....nimemaliza staki nijibiwe
   
 11. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Haya bila ku google ni hivi

  -FM tramsmiiter ndiyo inayotumika kurusha mawimbi ya fm. Unaweza kuwa mnara mkubwa na ku retramsmit. Mfano vituo vingi vya televisionn na radio Dar vina Tramsmiter zao kisarawe.

  -FM radio ni mawimbi ya sauti yanarushwa kwenye masafa ya FM
  kitaalam ukisema neno radio maana take ni mawimbi/ waves. Na kabla ya kuwa na mawimbi ya FM lazima yawe tramsmitted na FM transmiter.

  Kwa uchambuzi na maelezo ya kitaalam anzia hapa
  Transmitter - Wikipedia, the free encyclopedia
  FM broadcasting - Wikipedia, the free encyclopedia
   
 12. G

  Ginner JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Shukran Zing unaonesha utu uzima
   
 13. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  And i'm guessing the difference btn FM and AM or MW lies in frequency?
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  No I think the core difference relies s on the modulation techniques used . In simple mduation concept u can just say FM is digital version of AM wich is analog.
   
 15. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Mnalishusha thamani kabisa jukwaa la science and technlogy; Tukubali huyu bwana mgeni hajafanya homework yake ipasavyo. haiingii akilini kuwa hajui msaada wa google ktk kujifunza. Mimi nilitegemea humu tutaulizana maswala "magumu" ambayo pamoja na kusomasoma sehm mbalimbali bado yanakukanganya! HAya bana, mm nina swali langu!

  What is a bit?
   
 16. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #16
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Umuhimu wa hili jukwaa ni pamoja na kupewa ushauri na ndo maana umeambiwa uka google utapata maelezo ya kutosha, ok
   
 17. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  FM -Frequency Modulation
  AM -Amplitude Modulation(MW -Medium Waves & SW -Short Waves)
  FM transimmiter =mtambo wakurusha matangazo yaliyo katika mfumo wa fm.huwa ni ya distance fupi fupi na yasiyo na mikwaruzo..matangazo ya TV katika VHF na UHF huingia katika kundi hili
  FM Radio=mara nyingi huwa ni receiver capable kureceive na kudemodulate FM waves...radio nyingi za sasa hutumia mfumo huu
   
 18. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  unaweza ku-google na usielewe! inategemea na fani yako
   
 19. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,722
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  This is not a childish post hivi mnafahamu ya kuwa ujuavyo ww sio wengine wajuavyo thats y kuna forums mbalimbali mtu anavyouliza anataka kujua kwani hiyo google yeye haifahamu? Ina maana wazungu kwene forums zao mbona huuliza maswali kama hayo ina maana hawajui matumizi ya google?
   
 20. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwani wazungu wao ndio nani hata uwatolee mfano wa stayli hiyo?
  jee sisi lazima tuwe kama wazungu? au kwa vile unawaona weupe ndio unadhani mavi yao hayanuki?.........(joke):lol:
  hizo forum unazosema sio za great thinkers. kuna forum za kuuliza maswali kama hayo. you have to think your self.
  hapa tunataka maswali magumu tusaidiane. kitu ambacho mwenyewe anaweza kujisaidia kwa nini tumsaidie sisi.
  sharobalo amemsaidia kwa kumwambie a-google.
  naye kama hajui nini ku-google basi ndio tumsaidie zaidi
  mbona sioni jibu baya. yote ni majibu na yote yanafaida
  nionavyo mie, it is the lowest level a member of this forum can go but is acceptable
   
Loading...