Msaada

ombeni

Member
Mar 24, 2011
47
2
Jamani habari za jumapili!nimeanza kufanya mazoezi kwa mwili wangu na sasa ni kama wiki moja lakini MISULI ya mapaja yote inaumasana,naomba Doctors mnipe msaada wa kutuliza maumivu,Nb mimi ni mvulana wa miaka 30.Naomba kuwasilisha asante.
 
kawaida hiyo bro... endelea kupiga zoezi kwa ajili ya Afya yako ... baada ya wiki mbili tatu u will be fine inshaAllah..
 
kawaida hiyo endelea kupiga mazoezi baada muda fulani itaacha...na ukiacha tena itauma,hongera kwa mazoezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom