Recent content by omary khamis

  1. omary khamis

    JamiiForums Tanzania Mliopo TIA mnisaidie

    Majibu yatatoka mwez wa 9 mwanzoni kabisa uwe unatembelea website ya chuo wataweka PDF
  2. omary khamis

    JamiiForums Tanzania Wanaosoma CPA Tanzania karibuni kwa mawazo ma ushauri

    Sorry naomba kuuliza ivii kuji-register NBAA ni sh ngapi total?
  3. omary khamis

    JamiiForums Tanzania Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

    Unajua mechi na azam ilibadalishwa muda siku gani Saa ngapi na sababu gani?
  4. omary khamis

    JamiiForums Tanzania Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Aloo!!!! Nimevutia sanaaaaaa na maandishi yako asee[emoji122][emoji119][emoji119]
  5. omary khamis

    JamiiForums Tanzania Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Kwamba uhasibu kazi zipoo? Na zinapatikana kirahisi au sio mkuu
  6. omary khamis

    JamiiForums Tanzania Procurement & logistics

    Umemaliza majibu yote
  7. omary khamis

    JamiiForums Tanzania Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Ahsante kwa mchango mkuu , so kwenye barua unaandika kuomba internship au sio
  8. omary khamis

    JamiiForums Tanzania Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Mkuu kwa maana ya kwamba unatuma CV pamoja tu? na ni mpaka iwe kuna kazi imetangazwa au hata kama hawajatangaza kazi unatuma tuu?? Msaada please apo
  9. omary khamis

    JamiiForums Tanzania Natafuta laptop HP

    Natafuta laptop aina hp elite book 840 , corei 5, hdd 500gb, ram 4gb au kama kuna mtu mwenye hp kali itakayonishawishi aweke picha tufanye biashara location DSM
  10. omary khamis

    JamiiForums Tanzania Nasoma uhasibu, napata changamoto kuona kila kitu kigumu. Naomba kusaidiwa kisaikolojia

    Kwanza pole ila kwenye masomo ya uhasibu math's haiwez kukushia GPA kwasababu ni somo ambalo lina units ndogo sanaa, kilichoshusha GPA ni kupata B plain za core subjects
  11. omary khamis

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo hulipwa kulingana na siku za masomo na si vinginevyo!

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  12. omary khamis

    JamiiForums Tanzania Je, asome kozi gani kati ya hizi?

    Kwani kasema ya vilaza? Yeye c kasema ajira nje njee????? Au we umeelewa vp
  13. omary khamis

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujibu maswali ya law case

    Shukrani sana mkuu
  14. omary khamis

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujibu maswali ya law case

    Thanks sana ndugu walau naupata mwanga
Back
Top Bottom