kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 360
- 386
Mtoto wa dada yangu amepata ufaulu hafifu yaan four ya 28, lakn katika uchunguzi kidogo niliofanya nikagundua kwamba ana vigezo vya kusoma mojawapo kati ya fani zifuatazo:
1: Bank & finance
2: Accountancy
3: Chuo cha Maji (water institute)
4: Pharmaceutical science
Je, kati ya hivyo nimchagulie fani gani?
Napokea mawazo yenu pia hasa ushauri na mawazo mapya. Naomba ikinishauri unipe na ufafanuzi kidogo.
Asanteni